ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,345
- 8,565
Pamoja sana MziziMkavu!
Last edited by a moderator:
Duh! MziziMkavu kusema kwamba ndo umeishia hapa?? Endelea mkuu..... Basi usiku wa kuamkia leo wacha niiote hii hadithi jaman niliteseka sana,nilipostuka ilikuwa ni saa 8 kasoro ilibidi niamke na kuanza kusali tu.
Kwa iyo ukaota hadith!!...bas tuendelezee mzizi mkavu apumzike...
Yaani siyo niliota kwa muendelezo kwamba nini kinafuata,ni kwamba yale mauzauza ya hii hadithi ndiyo niliyaota,nadhani hii ni kwasababu hii hadithi imenikuna sana nikajikuta hadi naota.
Haha...m ikiwa ni uck i never read ata km ni muendelezo...hua nasoma asbh au mchana...maana ni balaa
Umeona ehhh??? mi nilijikanyaga siku hiyo nikasoma usiku,acha tu nilikuwa naota tu Pastor Josiah na 666,sijui kama sikuropoka hilo jina ni bahati!! maana ningeachika kabisa!! ila nakumbuka nilistuka kwa kupiga kelele Mungu nisaidieeeeee!!