Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Bora hio kuliko kubeti
Wanadhulumiana sana ila mimi Vicoba niliyopo inaenda 4yrs na kuna uwazi wa pesa kuliko maelezo.Sema vikoba nasikia mnadhulumiana saana
Haha mtoto wa kitanga utaki shida , after all kwann upate shida na pesa unayo ?Ndo wengine hatuwez ila wapo wanaoweza. Kwa mfano mimi ningesave week tu ningevunja kibubu nikaila hiyo hela [emoji2][emoji2]
tusave laki nne kwa wiki, tufanye kwakwelisasa inabidi tutafute biashara ya kutuongezea kipato hili tuweze kusave
Ok mi nitakufuta hili nijiungeWanadhulumiana sana ila mimi Vicoba niliyopo inaenda 4yrs na kuna uwazi wa pesa kuliko maelezo.
Poa my ngoja tuanze huo mkakatitusave laki nne kwa wiki, tufanye kwakweli
Ww una cheo gani kwenye hivyo vikoba ?Wanadhulumiana sana ila mimi Vicoba niliyopo inaenda 4yrs na kuna uwazi wa pesa kuliko maelezo.
Betting ni high risk & high return , pia ina uraibu, pia hairusiwi kwenye dini, otherwise iko poaBora hio kuliko kubeti
Akaaa. Sitaki shida kabisa.Haha mtoto wa kitanga utaki shida , after all kwann upate shida na pesa unayo ?
Sasa Kuna baadh ya Wanawake Na Baadhi ya Wanaume Wamesha kuwa brain washed.. Anauza Zake Samaki na Nyanya Gengeni Anapewa Hilo Jedwali.....
You are right.... Ndo maana nikaweka mada hiu hapa MezaniNilichokigundua waTanzania wengi wetu financial literacy ni ndogo sana. Hata huu uwekezaji ni product ya discussion kati yetu na masikini wenzetu.... Mfano hakuna kitu kimerudisha nyuma na kufarakanisha familia kama hii mikopo ya VICOBA na upuuzi mwingine. Kuna mama zetu wameiba/wamefoji mpaka hati za nyumba/magari na mengineyo kwenda kukopea..kisa wajiongezee kipato. By the time wanashtuka it is all HOT AIR.
Again, si kwamba hili jedwali ni baya. Mtu akiwa na KIPATO CHAKE NA discipline anaweza possibly akafanikiwa. Lakini mwisho wa siku wengi haya mambo ni marahisi kwa kuyaongea.
Mimi ni shareholder mkuu. Tumekisajili vicoba yetu kama company.Ww una cheo gani kwenye hivyo vikoba ?
Lakini kwaufupi amna ubaya hapo kwasabu ni personal zaidi akuna upatu au mtu anayeibiwa kwaiyo mtu ataweka pesa akiona ameshindwa kuendana nalo jedwari anakula matunda aliyohifadhi au anabadilisha mfumo amabo anaendana nao natumaini mtu mpaka ameamu kuwa na nidhamu ya pesa ni yuko timamu so amna tatizo kwasabu amna wizi wala sio network market ni jambo la kila mtu kupambana na hari yakeYou are right.... Ndo maana nikaweka mada hiu hapa Mezani
Ok hongereni sanaMimi ni shareholder mkuu. Tumekisajili vicoba yetu kama company.
AsanteniOk hongereni sana
Muulize kuwa aliliwa mara ngapi?Kuna Aliyebet kwa 1000 akapata mil 86 huko m bet... Betting ni Bahati nasibu ila hii si bahati nasibu mkuu
Ww mpare bahiri saana, weka mzigo mkuu upate bingoMuulize kuwa aliliwa mara ngapi?
Na wote wanapata hio mil86
Nimeweza ila huku juu ilikuwa mbinde sema imenipa morali wa kufight always nia inatengeneza njia.Wewe umeweza ?