RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,446
- Thread starter
- #41
Yaah Ndo Nilikuwa namaanisha Sema Wengi wanakurupuka Kucomment bila Kufikiria mbeleHawajakuelewa ila wakipitia hii point watakuelewa kuna vitu huwa theoretically inawezekana ila kiutendaji ni ngumu ni bora wangewwka fixed amount lkn hapo wanaonyesha kuwa kipato chako kinakua kila mwezi au una kipato kikubwa sana unajifunza kuweka akiba