kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Kuweka akiba inawezekana sana,ila kama una pesa kidogo haisaidii.Maana pesa yetu haitabiriki.Leo unaweka laki na nusu kwenye kibubu,ambayo ungeweza kununua baiskeli ikupunguzie gharama za usafiri,mwakani unaichukua uitumie unakuta baiskeli inauzwa laki mbili,sasa huu utakuwa ujanja ama uzwazwa?
Wakati mwingine,huwa nawashangaa sana wasomi wengi kwa kutoa elimu kutokana na theory zilizotengenezwa na wazungu.Wazungu wao pesa yao ni stable sana wanaweza kuweka akiba na ikawa na maana.
Unakuta jitu linasoma marekani,linakuja na Sera za kufuta fao la kujitoa,kisa, wazungu wanafanya hivyo!!Yaani unaona kabisa jinsi akili zilivyo za kikenge