52 weeks saving Challenge... Hivi watanzania Tuna Shida gani?

52 weeks saving Challenge... Hivi watanzania Tuna Shida gani?

Muulize kuwa aliliwa mara ngapi?
Na wote wanapata hio mil86
Katika betting hata kama mtu ameliwa hawezi liwa Kiwango sawa na mil 86 aliyoipata... Wengi hupotexa hela ndogo wanazobetia.. hasa 500...1000...2000
 
Mtoa mada..kajithathimini...

Soma na uelewe malengo.

Lengo la kwanza hapo....ni nidham ya kuweka akiba.

Lengo la pili...haijalishi unakipato kiasi gan bado unaweza kuweka akiba.

Hata kama income yako ni 1000 kwa siku bado unaweza kuweka akiba ya tsh 20 kwa siku. Tofauti ni kwamba mwenye kipato kikubwa anaweza kuweka akiba kubwa (Note: si kila mwenye kipato kikubwa ana uwezo wa kuweka akiba ...akiba ni nidhamu) na mwenye kipato kidogo anaweka akiba ndogo.

That is it!

Unaposema anapigwa ....sijaelewa anapigwaje....wakati hela ni zako na umefundishwa wewe mwenyewe jinsi ya kuweka. Hakuna kuuza wala kununua chochote hapo. Wala hakuna kamisheni ya kumuintroduce mtu kwenye hii idea.

It is simpy a challenge to our spending behaviour!
Exactly, that's how it is
 
Hizo zote ni njia tu za kusave whichever the modality. Mfano mimi nilijiwekea kila fedha nayopata kuanzia 50,000 na kuendelea lazima niikate kodi 10% ambayo inaenda huko kunako savings

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Sawa Tatizo la Hiyo Chat inakuhitaji Uweke Kiasi Cha Nyongeza kila Week...

Yaani Tuseme leo tarehe 3 uweke 250000 baada ya Siku saba yaani tarehe 10 uweke 260000 baada ya siku saba tena yaani tarehe 17 uweke 270000 mana Yake Kuanzia Leo tarehe 3 mpaka tarehe 17 mwezi Huu uwe umeweka Tsh 780,000 . Je kwa Kawaida Mwenye Mshahara Duni Ataweza
Huo ni mfano tu...unaweza kutengeneza chati ya namna unavyotaka wewe na kiasi unachotaka wewe..lengo la hiyo chati ni kuhamashisha mtu kusave
 
save kulingana na kipato chako,umri na malengo yako..
usiige tu kwa watu.
 
Back
Top Bottom