50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

Kwa spidi hii mpaka huu mwezi unaisha Iran itakuwa choka mbaya na uchumi utakuwa nyang'anyang'a kiasi kwamba itabidi tu watupiwe taulo.

Kwa sasa hivi Iran haiwezi kuuza mafuta wala gesi kwa sababu meli hazina bima ya kupakia mafuta wala gesi ya Iran. Iko kazi.
Uchumi sio shida maana Wataondolewa vikwazo kama Syria
 
Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi.

Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
Hizo habari ya X ya elon musk, Kwa taarifa Sahihi muajemi anaweza kutembea na hio kombination miaka zaidi ya 20, yaan siku 3 za vita waangushe mamlaka? Unawajua IRGC wewe? Nani kujitia kuwavamia ground?
 
Mkuu unaamini propaganda za vyombo vya magharibi? Utachekwa🤣😂🤣😂
 
Hizo habari ya X ya elon musk, Kwa taarifa Sahihi muajemi anaweza kutembea na hio kombination miaka zaidi ya 20, yaan siku 3 za vita waangushe mamlaka? Unawajua IRGC wewe? Nani kujitia kuwavamia ground?
Mwache aendelee kucheka na kujitekenya mwenyewe. Propaganda za vyombo vya kibeberu zinamharibu kichwa!
 
Hizo habari ya X ya elon musk, Kwa taarifa Sahihi muajemi anaweza kutembea na hio kombination miaka zaidi ya 20, yaan siku 3 za vita waangushe mamlaka? Unawajua IRGC wewe? Nani kujitia kuwavamia ground?
Hawawezi hata kumlinda kamanda wao mkuu, anauliwa tu kama pimbi. Bure kabisa.
 
Screenshot_20260304_205650_Chrome.jpg
 
Hawawezi hata kumlinda kamanda wao mkuu, anauliwa tu kama pimbi. Bure kabisa.
Ayatollah mwenyewe walimuheshimu tuu kwasababu ya ukongwe wake na hekima ial kiongozi ajaye hawezi kufanya maamuzi ya kugoma kuingia Kwenye bunkers kwaajili ya usalama. Yule Mzee alikua anakaa kwake licha ukubwa wote wa Tehran Kama tz
 
Matokeo yoyote yanawezekana... Hata kwenye mpira natumia hii kanuni japo nina team yangu
 
Ayatollah mwenyewe walimuheshimu tuu kwasababu ya ukongwe wake na hekima ial kiongozi ajaye hawezi kufanya maamuzi ya kugoma kuingia Kwenye bunkers kwaajili ya usalama. Yule Mzee alikua anakaa kwake licha ukubwa wote wa Tehran Kama tz
Hakuna lolote bila ya yule body guard wake wasinge mjua yuko wapi, yule body guard walimnunua kumbe akawapa infomation lakini na yeye kajiua sasa.
 
Halafu anapambana na mataifa mawili sasa. Jamaa nimetokea kuwakubali sana.
Sio mataifa mawili tu, hao wengine kawatungua na hawana majibu dadeki.
Wengine wanaogopa kuungana na washirika wao wakubwa US, bila shaka Iran moto wake wanaujua na walijipanga miaka mingi kwa hili wakijua litatokea tu.
 
Back
Top Bottom