50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

Mimi nasubiri Wairan wa Chatembo waniletee picha au video ikionyesha Manowari ya Marekani ikizamishwa maana kabla ya vita ndio zilikuwa vitisho na tambo zao.
Unadhani utazipata chief?

Kule kunaitwa tumwagilie moyo

Wenzako wanamwagilia moyo
 
😀😀 Jamaa unachekesha Sana. Ingawaje umeongea ukweli.
Iran alipofikia Hana ujanja lazina afanye hivyo ili asife kikondoo.
Namsifu kuliko wachukuliwe kama Maduro
Iran ni mwamba na nusu, pamoja na kua anapoteza ila namsifu kwa ujasiri wake, na kupambana mwenyewe bila kuomba kuonewa huruma ama msaada.
 
IRGC wameanza kutumia hospital,misikiti na shule kushambulia..
Leo USA na Israel watoa tangazo kuwaondoa wagonjwa wote kwenye hospital ya taifa pamoja na baadhi ya misikiti kwasababu hawa IRGC wameanza zile style za hamas
Kawaida yao watu wa itikadi kali.

Hapo wanataka ile huruma ya kama free palestine walipishe watu kufanya maandamano
 
Waluguru tunasema; ba mkude gangwe, kakimbizwa na simba kutoka porini kaja kuliwa mlangoni kwake. Japo kaliwa ba mkude lakin kapambana
"Ba mkude" hajapambana na "simba" kamkimbia, angeliwa hukohuko porini akipambana, si ajabu angemuua au kumjeruhi "Simba" na asiendelee kumjeruhi au kumuua kabisa
 
IMG_20260303_155654.jpg
 
Tatizo wakirusha hivihivi mfululizo wiki mbili tuu wataanza kulialia wameishiwa
Trump leo kasema Iran inaishiwa na makombora!

Na mimi nilisema toka juzi kwamba, Iran Itafika muda atakuwa hana kombora hata moja na hapo wenzie wamemwacha ayamalize yote alafu wamkabe Vizuri.
 
US na Israel wameshasema hii ni nafasi ya mwisho kabisa kuipata kuimaliza Iran na watoto wake Hezbollah na Hamas. Kwahio hii vita wamepania wasafishe kabisa na kumpa utawala mtoto wa Shah wa Iran alieondolewa madarakani 1979 na Ayatollah Khomeini. Israel kaingiza askari wa miguu Beirut kusafisha hao Hezbollah.
Waarabu wa Buza hawafahamu kua waarabu original wa Middle East wanataka Iran ipigwe haswaa utawala wa ma Shia uondoke pale.
Muda si mrefu , Pray For Iran itaanza.
 
😁😁

Wataanza free iran muda sio mrefu
 
Kwa spidi hii mpaka huu mwezi unaisha Iran itakuwa choka mbaya na uchumi utakuwa nyang'anyang'a kiasi kwamba itabidi tu watupiwe taulo.

Kwa sasa hivi Iran haiwezi kuuza mafuta wala gesi kwa sababu meli hazina bima ya kupakia mafuta wala gesi ya Iran. Iko kazi.
 
IRGC wameanza kutumia hospital,misikiti na shule kushambulia..
Leo USA na Israel watoa tangazo kuwaondoa wagonjwa wote kwenye hospital ya taifa pamoja na baadhi ya misikiti kwasababu hawa IRGC wameanza zile style za hamas
Ndio zao hizo, wakishaanza hivyo tutaanza kusikia kwamba wanaua wanawake na watoto kumbe wanawatumia kama kinga baada ya kuzidiwa.
 
Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi.

Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
Hahahaha we unajua nchi za Gulf zimetumia kwa siku au siku mbili missiles za Air defense kila mmoja karibu zinazo tengenezwa kwa mwaka mmoja huko kwenye kiwanda cha silaha karibu zitawaishia. Afu Iran hata hajatumia 10% ya silaha zake.

US wanadai wamemaliza navy ya Iran hahaha ni uwongo mtupu. Jana destroyer yao imezamishwa na Iran. US na Israel wanatumia propoganda tu kwenye hi vita.

Waziri wa majeshi wa America anapiga keleke huko anataka Gulf states waingie vitani ili badaye wawakimbie, wa mwache Iran anawasambaratisha.

USA kashikwa pabaya sana huyo Israel ni mda wa week au siku 10 ataishiwa hizo Missiles za Air defence system na hapo ndipo atapo malizwa na Iran

Sikia US secretary of defense anavyo lalamika hahaha tusaudirni warabu ingieni vita na Iran

View: https://youtu.be/3wQEmYT-cec?si=_BZ9NLaqfEvbI2Oi
 
Hahahaha we unajua nchi za Gulf zimetumia kwa siku au siku mbili missiles za Air defense kila mmoja karibu zinazo tengenezwa kwa mwaka mmoja huko kwenye kiwanda cha silaha karibu zitawaishia. Afu Iran hata hajatumia 10% ya silaha zake.

Waziri wa majeshi wa America anapiga keleke huko anataka Gulf states waingie vitani ili badaye wawakimbie, wa mwache Iran anawasambaratisha.

USA kashikwa pabaya sana huyo Israel ni mda wa week au siku 10 ataishiwa hizo Missiles za Air defence system na hapo ndipo atapo malizwa na Iran

Sikia US secretary of defense anavyo lalamika hahaha tusaudirni warabu ingieni vita na Iran

View: https://youtu.be/3wQEmYT-cec?si=_BZ9NLaqfEvbI2Oi

Another Mohammed Al Sahaf at his best.
 
Back
Top Bottom