Oktoba 29 mlikuwa wapi kutuletea updates kama hizi?Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi.
Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
Kusema wanashambulia sana ilhali viongozi wao wa juu(wa kidini,kisiasa na kijeshi) wanauawa kwa wingi na wao hawajaua hata high ranking military commander mmoja panakuwa na utata hapo.Mbona Iran ndo inashambulia sana!
Hahahaha
ni kweli kabisa.
Kama ushawahi kuona wanawake wanapigana basi iran inavyofanya.
Hawapo strategic
Haha
Hakika , jamaa wanayarusha aisee , sio asubuhi wala jioni.
Haha
Hakika , jamaa wanayarusha aisee , sio asubuhi wala jioni.
💯💯💯Iran anachapwa kichapo cha kimya kimya na hio ni stratergy ya US/ Israel kuepuka hasira za wananchi wasijeoona Iran inaonewa. Na Hata kuonesha sana Israel inavyorushiwa makombora ni mkakati huo huo wa kuonesha kua Irani ndio inashambulia lakini kiukweli ni inapata vipigo vitakatifu sana hawana pa kupumulia maana anga na majini kumetawaliwa na US/Israel.
Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi.
Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
😁😁Ila US wabaya sana wamewachonganisha Pakistan na Afghanistan kuwaweka busy na vita yao, huku ndugu yao Iran wakimpa kibano cha uhakika. Mwanzo US/Israel walidai wanataka kumpunguzia Iran nguvu za nyuklia, Ila sasa wameona Hapana, Wanataka " regime change", yale yale yaliomkuta Saddam.
Ifahamike tu: Iran ndio nchi upande ule yenye wayahudi wengi wazaliwa wa pale pale, kwahio Israel wanapewa intelligence ya ndani kwa ndani na ndugu zao.