DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
YeaaahUmeona eeee.
YeaaahUmeona eeee.
Nipo mwenyewe tuu...labda nigoogle.Muulize huyo jiran yako hapo ulipo
Mwenzako kaenda wapNipo mwenyewe tuu...labda nigoogle.
Kuna kitu unakitafuta wewe nimekustukia..Mwenzako kaenda wap
EeeeehKuna kitu unakitafuta wewe nimekustukia..
Basii.Eeeeeh
Ebu ning'oneze
kitu gani hicho rafiki?
Niume sikio bna. Sio hapa lakiniBasii.
Enjoy Beer Festival Leo😀OMG......you made my weekend!
Bila matumaini hata huo utajiri utausikia kwa watu wengine mkuu.Ni kweli kuzikwa kupo lakin kujipa matumaini si sahihi
SawaBila matumaini hata huo utajiri utausikia kwa watu wengine mkuu.
You must live with HOPE to achieve your goals lakini usiahau kushindwa kimafanikio nako ni sehemu ya matokeo ya utafutaji.
Tena hapo ndio utaachwa mchana kweupe, muulize Hamisa Mobetto kilichomkuta! Atakuwa na somo la kuwafunza.If you choose to believe everything you read, utashangaa.
1.Your wallet may take a break but your heart and mind is set for an endless roller coaster ride.
2. Great taste? Yeah and it doesnt just end with choice of cologne he wears, but with women too.
3.Your Mom will be delighted? Well, it depends. Don't count on it. Some mothers just want a decent man from a decent background.
4. All the pampering probably but at what cost. No man is going to spend all his money on a woman who doesn't bring anything to the table.
5. Future is secured? Jidanganyeni mtashaaaaaa. Try getting him stuck to you by getting pregnant.😀😀
As well as fucking all the girls around that will have the same mindset as the one she has! Mwanaume mwenye hela ni mwanaume wa wote maana kila mwanamke anamuwania.He can do whatever pleases him with your body and you don’t have the guts to tell him no
Really???Shida ya wanaume matajiri huwa wanahisi hela zao kwako ni kila kitu. Kama ukiwa mwanamke njaa njaa wanakuendesha. Na bora niendeshwe na mwanaume ninaempenda ila sio anaenipa hela.
Wana tabu hawa, nawacheki tu af nasema hiiiiii🤣🤣🤣Ila wanawake mnashangaza sana.....leo hapa wengi watajidai hawakubaliani na mtoa mada. Kesho itakuja thread ingine mtaanza kusema mwanaume mwenye hela ndio mwanaume, masikini ukianza nae akipata anakukimbia
Hahahahahah kumbe huwa ni shughuli eeh. Kuna mwenzio kaenda Songwe huko kumfuata jamaa. Ana hela za madini anauza Msumbiji. Ni ex wangu huyo ila anapenda hela dunia nzima hakuna. Yani kila tukikutana lazma akupige mzinga hata kama ni buku ya vocha yani lazma akuombe hela tu nikakomaa nae maana ni msupuu hatari ila mwisho nikarudisha majeshi nyuma.Yani pita na hela zako kafe nazo mbele huko. Hawajui ilivyo kazi kumdate mtu usiempenda ila unapenda hela zake tuu.
Akikubali hio ya from scratch lever za mkeka naomba nijuze.Mkuu hawa tunawatafuta kwa tochi kumbe wamejaa huku JF! Aje tulalie mkeka tujenge familia from scratch
Hapo kuna mawili,Kuna rafiki yangu alikuwa anatoka na mwarabu mmoja alikuwa mhasibu wa kampuni ya mafuta. Alipewa kila kitu, alipangiwa nyumba nzima ya kisasa, gari ya kutembelea katunguliwa yadi, alikuwa anavaa nguo za designers jamaa anamnunulia toka dubai, kila toleo la iphone likitoka tu bi dada analetewa, akitext tu "beby ninashida" laki kadhaa zinamwagika kama biko. yaani alikuwa ana maisha ambayo tulikuwa tunayaona kwny movie wengine hapa.
Chakushangaza rafiki yangu hakuwa na furaha na yule mwarabu. Alikuwa busy sana, yaani hana muda na bidada. Kila akimlalamikia mwarabu anamjibu kwani unakosa nn kila kitu nakupa, ukitaka kutoka niambie unahitaji kiasi gani utoke na marafiki zako alafu ntawajoin later, bas ndo ntolee hyo... Bi dada akaona isiwe shida, akaanza mahusiano na mlinzi wake kwny nyumba aliyopangiwa na mwarabu. Basi huku kwa mwarabu anakula vitu vyake, mgegedo anapewa mlinzi [emoji23][emoji23][emoji23] mwarabu akitaka mgegedo anamwambia nenda hotel fulani nikukute hapo....
Sasa mpaka leo sijapata jibu yupi bora, mwanaume mwenye hela au asiye na hela [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]