5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Lakini kwa sasa mnafight mpate japo mwenye hela ili iwe nafuu kwenu, huu ni ukweli usiopingika
Demu mwenye hela anapunguza makali ya mizinga kwa 90% ndio maana tunawapenda. Halafu ukikuta sio mbinafsi kuna mambo mengine anaokoa jahazi. Mfano ukiyumba unaeza kuchukua mkopo kwake ukakamilisha mambo kwa mustakabali wenu.
 
Hata kwenye biblia tuliona vile wanawake warembo wakuvutia na wenye siha njema walitafutiwa waume wenye wadhifa Kama wafalme, manabii, mitume nk, mfano mzuri Ni kisa Cha Ester jinsi alivyofanikiwa kwa uzuri wake kuwakomboa wayahudi wenzie

Kwahiyo sisi wanawake kupenda mteremko kupo tu tangu kale, wapo wanawake walioinua familia zao kwa kupata nafasi moja tu ya kumvulia mwanaume mwenye wadhifa.
 
Back
Top Bottom