DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Lucky himSiwezi Mwifwa. Mi nikiomba hela huwa nakua nimebanwa kweli. Kwanza sinaga matumizi yasiyo ya lazima na hela za mwanaume wangu. Kwa sababu hiyo hela tunayoitumbua si bora tusave tu.
Bf alihamia Mwanza baada ya kumaliza chuo. Sasa akaniita Mwanza. Akaniambia nikakate ticket ya ndege. Nikawaza kulipoa ticket go and return, bado nikifika nitakaa hotel, bado atanitembeza kidogo. Nikaona gharama tu zisizo na maana wakati ile hela anaweza kuisave. Nilimwambia nitapanda bus (ilikua first time kwenda Mwanza). Sasa na yeye pale ndo aliamini kumbe huyu wala hana makuu kwenye hela kama anavyoonekana. Lakini ingekua ni limtu tu chief angenikatia ticket ya flight kama hawezi basi.
Good for u