5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Mimi basi ni mmoja wa wenye mapenzi ya dhati ambayo hayaangalii pesa wala status ya mtu. Japo hata nikimwambia mtu kwa mimi siaminiki najua ila mtu akinijua atajua mi pesa sio kipaumbele kabisa kwenye relationship. Ex bf wangu tulianza baada ya kumaliza chuo. Alikua na hela za kawaida tu lakini alichokua anaweza kufanya kwa upande wake alikua anafanya. Kama siku sina namwambia ananipa. Na yeye mwenyewe alikua hata haniamini kama naweza kumpenda yeye mwenye hela kawaida tu.
Niamini mimi wapo watu tunavalue mapenzi sana kabisa. Hela zipo tu hizi.
Nawatafutia watu kama nyie. Lakin siwapat
 
Kuna rafiki yangu alikuwa anatoka na mwarabu mmoja alikuwa mhasibu wa kampuni ya mafuta. Alipewa kila kitu, alipangiwa nyumba nzima ya kisasa, gari ya kutembelea katunguliwa yadi, alikuwa anavaa nguo za designers jamaa anamnunulia toka dubai, kila toleo la iphone likitoka tu bi dada analetewa, akitext tu "beby ninashida" laki kadhaa zinamwagika kama biko. yaani alikuwa ana maisha ambayo tulikuwa tunayaona kwny movie wengine hapa.

Chakushangaza rafiki yangu hakuwa na furaha na yule mwarabu. Alikuwa busy sana, yaani hana muda na bidada. Kila akimlalamikia mwarabu anamjibu kwani unakosa nn kila kitu nakupa, ukitaka kutoka niambie unahitaji kiasi gani utoke na marafiki zako alafu ntawajoin later, bas ndo ntolee hyo... Bi dada akaona isiwe shida, akaanza mahusiano na mlinzi wake kwny nyumba aliyopangiwa na mwarabu. Basi huku kwa mwarabu anakula vitu vyake, mgegedo anapewa mlinzi [emoji23][emoji23][emoji23] mwarabu akitaka mgegedo anamwambia nenda hotel fulani nikukute hapo....

Sasa mpaka leo sijapata jibu yupi bora, mwanaume mwenye hela au asiye na hela [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Date wote wawili kwa wakat mmoja utapata majibu
 
Yani liulizwe swali la maji na bia nijibu mchanga kweli? Embi bwana. Swali lilikua ni nyumba na gari. Jibu ni kati ya A au B we ukataka nijibu C. Ila ukweli ndo huo. Acheni kupenda wanawake wasiowapenda ndo maana wanawakomesha kwa kuwaomba hela
Unajua kuna mwanamke anaweza Kuwa hakupendi na hela yako pia hachukui?
 
Back
Top Bottom