Hapa ndiposa naona umuhimu wa kutembea na kamusi..
mimi huwa nikishindwa nasoma komenti halafu naelewa.Hapa ndiposa naona umuhimu wa kutembea na kamusi..
Aah,hii lugha bwana,we acha tuu wengine mpaka tuleweee na giza liingie ndio tunaongea...sasa si maajabu hayaamimi huwa nikishindwa nasoma komenti halafu naelewa.
jaribu utakuwa sambamba na wao.
hahaha hadi uondoe aibuAah,hii lugha bwana,we acha tuu wengine mpaka tuleweee na giza liingie ndio tunaongea...sasa si maajabu hayaa
mkuu hiyo avatar yko imenikumbusha mbali mnooo atiBango la for sale litahusika
You become more submissive...Being his object instead of a partner is very possible
MmmmhUsisahau pia unakua mtumwa.
Hata akitaka ndogo utampa kwasababu unawazia hela zake.
Ndio dunia ilivyo mpenziyaani nimeshangaa kweli akili za watu wengine, labda kakopi mahali bhana maana sio kwa akili hizi
tuko kwenye wakati "wanawake" tujitafakari na kujiweza yeye anawaza kuolewa na rich man ndo kila kitu?
haki tunatofautiana sana tu
He can do whatever pleases him with your body and you don’t have the guts to tell him noYou become more submissive...
You wouldn’t argue with him on anything or wouldn’t dare to oppose his opinions....
Utumwa wa Mapenzi huu.....[emoji47] [emoji47]
Mje muoe huku kwetu Kwamtogole hatuna makuuAisee kwahiyo bila utajiri tusioe.
Oh, boy! Oh, boy! I guess the disadvantages are too HEAVY to even think of the BENEFITS.He can do whatever pleases him with your body and you don’t have the guts to say no
I prefer to climb up the ladder with someone instead of meeting him while he is already up thereOh, boy! Oh, boy! I guess the disadvantages are too HEAVY to even think of the BENEFITS.
Acha nibakie na Average Joe wangu.....hanikoseshi usingizi[emoji6]