DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Ntapambana na hali yangu tu.Si hutak sisi wanyonya wallet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntapambana na hali yangu tu.Si hutak sisi wanyonya wallet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
90+Namaanisha age group
Hii inaitwa tega nikutegeNjoo basi nikuoe.
Kundi la umri wa kupenda pesa huo
Sawa dada AggyChukua muda wako kumfahamu MTU kabla hujaamua lolote.
Yakinishinda si namuacha tu jamani.Kuigiza kipaji ujue. ipo siku yatakushinda
Duuuuhhh, huenda ni kweli lakini.....My dear wanawake wengi huwa tunatamani tupate wanaume wenye hela tuwapende ikatokea nimempenda ambae hana hivyo vitu wala simkatai wakati nimeshampenda.
Kuhusu kupenda mwanaume mwenye kitu hapa yenyewe natamani mwanaume nitakaempenda awe na ndege kabisa nini gari. Ila sio kwamba akija mwenye baiskel na nikampenda nitamuacha niumie kwa sababu nilikua nataka mwanaume mwenye ndege.
Ingekua hivyo jamani tungekubali kila mwanaume mwenye kitu anaetufuata.
Mimi naamini kabisa ni rahisi kutafuta pesa ila sio kupata mtu mnaependana. Sasa kwanini niukoseshe moyo amani kuhangaika na mwanaume mwenye pesa wakati simpendi na yupo ambae hana tunapendana?
Mkuu hawa tunawatafuta kwa tochi kumbe wamejaa huku JF! Aje tulalie mkeka tujenge familia from scratchHii inaitwa tega nikutege
Wewe tu Fanya maamuzi.Njoo basi nikuoe.
Leo nimejifunza mapya JF.Duuuuhhh, huenda ni kweli lakini.....
Sasa wewe unaishi mjini, unajua kila kitu hapa mjini bila pesa hakiendi halafu upende asiye na pesa!! hapo kuna ukakasi sana.
Mengi sana huwa mnayasema humu ndio ambayo kwa asilimia kubwa yana uhalisia maana tukiwa huko nje ya JF ndio tunakumbana nayo,
Hapa panahitaji ujasiri wa upendo wa dhati ambapo wenye huo ujasiri ni wachache kwa sasa.
Tuseme tu ukweli, siku hizi pesa ni kipaumbele kwenye mahusiano. Upendo ni baadae baada ya wallet kutick.
Dah leo naokota dodo chini ya muarobaini.Wewe tu Fanya maamuzi.
Hahahaha umenikumbusha mbali ..Hii inaitwa tega nikutege
Hahahahahahha....Dah leo naokota dodo chini ya muarobaini.
Hawa watu ni muhimu tuwaangalie kwa jicho la tatu kabisaLeo nimejifunza mapya JF.
Mimi basi ni mmoja wa wenye mapenzi ya dhati ambayo hayaangalii pesa wala status ya mtu. Japo hata nikimwambia mtu kwa mimi siaminiki najua ila mtu akinijua atajua mi pesa sio kipaumbele kabisa kwenye relationship. Ex bf wangu tulianza baada ya kumaliza chuo. Alikua na hela za kawaida tu lakini alichokua anaweza kufanya kwa upande wake alikua anafanya. Kama siku sina namwambia ananipa. Na yeye mwenyewe alikua hata haniamini kama naweza kumpenda yeye mwenye hela kawaida tu.Duuuuhhh, huenda ni kweli lakini.....
Sasa wewe unaishi mjini, unajua kila kitu hapa mjini bila pesa hakiendi halafu upende asiye na pesa!! hapo kuna ukakasi sana.
Mengi sana huwa mnayasema humu ndio ambayo kwa asilimia kubwa yana uhalisia maana tukiwa huko nje ya JF ndio tunakumbana nayo,
Hapa panahitaji ujasiri wa upendo wa dhati ambapo wenye huo ujasiri ni wachache kwa sasa.
Tuseme tu ukweli, siku hizi pesa ni kipaumbele kwenye mahusiano. Upendo ni baadae baada ya wallet kutick.
Kwani inashindikana nini lakini. Mjue nashangaa kama vile hamjawahi kupendqa mnavyohukumu kwamba hamna mwanamke wa hivyo.Mkuu hawa tunawatafuta kwa tochi kumbe wamejaa huku JF! Aje tulalie mkeka tujenge familia from scratch
Naona unatema madini tukweli kabisa, what is important is LOVE and not otherwise
Ok, ngoja nitie tick ila asilimia nakupa chache maana siku hazifanani kwani leo mumetushangaza sana wanawake mliochagia hii mada.Mimi basi ni mmoja wa wenye mapenzi ya dhati ambayo hayaangalii pesa wala status ya mtu. Japo hata nikimwambia mtu kwa mimi siaminiki najua ila mtu akinijua atajua mi pesa sio kipaumbele kabisa kwenye relationship. Ex bf wangu tulianza baada ya kumaliza chuo. Alikua na hela za kawaida tu lakini alichokua anaweza kufanya kwa upande wake alikua anafanya. Kama siku sina namwambia ananipa. Na yeye mwenyewe alikua hata haniamini kama naweza kumpenda yeye mwenye hela kawaida tu.
Niamini mimi wapo watu tunavalue mapenzi sana kabisa. Hela zipo tu hizi.
1. Your wallet can take a vacation
When you're with a rich guy ,your own wallet can take a break from all the hard work. He will obviously not allow you to pay when he's so rich. Beside that's the gentlemanly thing to do!
2. Great tastes
Won't it be great to be with a guy who can tell the difference between Chanel and Dior. most average guys know nothing about brands but rich guys have rates that coincide with their ability to afford them.
3. Your mom will be delighted
Your family, your mom in particular will be overjoyed with your choice. That takes us back to the famous first lines from "Pride And Prejudice".It reads, 'it is a truth universally acknowledged, that a single man in possession of fortune must be in want of a good wife".
4. All the pampering money can buy
When your man is not short of cash, he can buy you almost anything money can buy. And rich guys usually love to pamper their ladies with gifts that are insanely expensive. New clothes, exotic vacations, name it and you've got it.
5. Your future is secured
You don't have to wait for your boyfriend to get the next promotion for him to propose. You don't need to change your job to afford a decent house together. You can marry him here and now because his future along with yours is secured.
HahahahaaaaaDah leo naokota dodo chini ya muarobaini.