5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Ok, ngoja nitie tick ila asilimia nakupa chache maana siku hazifanani kwani leo mumetushangaza sana wanawake mliochagia hii mada.
Sasa ungekua unanijua ndo ungebisha kabisaa nikikwambia mi team mahaba niue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mwifwa mi napenda mapenzi sana.
 
Duuuuhhh, huenda ni kweli lakini.....

Sasa wewe unaishi mjini, unajua kila kitu hapa mjini bila pesa hakiendi halafu upende asiye na pesa!! hapo kuna ukakasi sana.

Mengi sana huwa mnayasema humu ndio ambayo kwa asilimia kubwa yana uhalisia maana tukiwa huko nje ya JF ndio tunakumbana nayo,

Hapa panahitaji ujasiri wa upendo wa dhati ambapo wenye huo ujasiri ni wachache kwa sasa.

Tuseme tu ukweli, siku hizi pesa ni kipaumbele kwenye mahusiano. Upendo ni baadae baada ya wallet kutick.
Pacha, achana na hao wa mjini uje kuoa huku kijijini kwetu maana wadada wa huku hawaangalii pesa bali mapenzi ya dhati
 
Mimi basi ni mmoja wa wenye mapenzi ya dhati ambayo hayaangalii pesa wala status ya mtu. Japo hata nikimwambia mtu kwa mimi siaminiki najua ila mtu akinijua atajua mi pesa sio kipaumbele kabisa kwenye relationship. Ex bf wangu tulianza baada ya kumaliza chuo. Alikua na hela za kawaida tu lakini alichokua anaweza kufanya kwa upande wake alikua anafanya. Kama siku sina namwambia ananipa. Na yeye mwenyewe alikua hata haniamini kama naweza kumpenda yeye mwenye hela kawaida tu.
Niamini mimi wapo watu tunavalue mapenzi sana kabisa. Hela zipo tu hizi.
Kama kweli uko hivyo. You are truly special. Hongera sana
 
Duuuuhhh, huenda ni kweli lakini.....

Sasa wewe unaishi mjini, unajua kila kitu hapa mjini bila pesa hakiendi halafu upende asiye na pesa!! hapo kuna ukakasi sana.

Mengi sana huwa mnayasema humu ndio ambayo kwa asilimia kubwa yana uhalisia maana tukiwa huko nje ya JF ndio tunakumbana nayo,

Hapa panahitaji ujasiri wa upendo wa dhati ambapo wenye huo ujasiri ni wachache kwa sasa.

Tuseme tu ukweli, siku hizi pesa ni kipaumbele kwenye mahusiano. Upendo ni baadae baada ya wallet kutick.
Kuna rafiki yangu alikuwa anatoka na mwarabu mmoja alikuwa mhasibu wa kampuni ya mafuta. Alipewa kila kitu, alipangiwa nyumba nzima ya kisasa, gari ya kutembelea katunguliwa yadi, alikuwa anavaa nguo za designers jamaa anamnunulia toka dubai, kila toleo la iphone likitoka tu bi dada analetewa, akitext tu "beby ninashida" laki kadhaa zinamwagika kama biko. yaani alikuwa ana maisha ambayo tulikuwa tunayaona kwny movie wengine hapa.

Chakushangaza rafiki yangu hakuwa na furaha na yule mwarabu. Alikuwa busy sana, yaani hana muda na bidada. Kila akimlalamikia mwarabu anamjibu kwani unakosa nn kila kitu nakupa, ukitaka kutoka niambie unahitaji kiasi gani utoke na marafiki zako alafu ntawajoin later, bas ndo ntolee hyo... Bi dada akaona isiwe shida, akaanza mahusiano na mlinzi wake kwny nyumba aliyopangiwa na mwarabu. Basi huku kwa mwarabu anakula vitu vyake, mgegedo anapewa mlinzi [emoji23][emoji23][emoji23] mwarabu akitaka mgegedo anamwambia nenda hotel fulani nikukute hapo....

Sasa mpaka leo sijapata jibu yupi bora, mwanaume mwenye hela au asiye na hela [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Mimi basi ni mmoja wa wenye mapenzi ya dhati ambayo hayaangalii pesa wala status ya mtu. Japo hata nikimwambia mtu kwa mimi siaminiki najua ila mtu akinijua atajua mi pesa sio kipaumbele kabisa kwenye relationship. Ex bf wangu tulianza baada ya kumaliza chuo. Alikua na hela za kawaida tu lakini alichokua anaweza kufanya kwa upande wake alikua anafanya. Kama siku sina namwambia ananipa. Na yeye mwenyewe alikua hata haniamini kama naweza kumpenda yeye mwenye hela kawaida tu.
Niamini mimi wapo watu tunavalue mapenzi sana kabisa. Hela zipo tu hizi.
Chakushangaza sasa, ukimpenda na kumridhia mwenye hali ya kawaida ukaridhika na hali yake, huwa anakudharau na kukuchukulia poa sana. Anakuona mshamba na wala hakuthamini yaani.
 
Kuna rafiki yangu alikuwa anatoka na mwarabu mmoja alikuwa mhasibu wa kampuni ya mafuta. Alipewa kila kitu, alipangiwa nyumba nzima ya kisasa, gari ya kutembelea katunguliwa yadi, alikuwa anavaa nguo za designers jamaa anamnunulia toka dubai, kila toleo la iphone likitoka tu bi dada analetewa, akitext tu "beby ninashida" laki kadhaa zinamwagika kama biko. yaani alikuwa ana maisha ambayo tulikuwa tunayaona kwny movie wengine hapa.

Chakushangaza rafiki yangu hakuwa na furaha na yule mwarabu. Alikuwa busy sana, yaani hana muda na bidada. Kila akimlalamikia mwarabu anamjibu kwani unakosa nn kila kitu nakupa, ukitaka kutoka niambie unahitaji kiasi gani utoke na marafiki zako alafu ntawajoin later, bas ndo ntolee hyo... Bi dada akaona isiwe shida, akaanza mahusiano na mlinzi wake kwny nyumba aliyopangiwa na mwarabu. Basi huku kwa mwarabu anakula vitu vyake, mgegedo anapewa mlinzi [emoji23][emoji23][emoji23] mwarabu akitaka mgegedo anamwambia nenda hotel fulani nikukute hapo....

Sasa mpaka leo sijapata jibu yupi bora, mwanaume mwenye hela au asiye na hela [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hapo inategemeana na mwanaume jinsi atakavyoendesha mambo. Akiwa na ratiba nzuri za kusimamia mambo yake atakuwa na muda pia wa kukaa na mke/mwanamke wake bila tatizo kabisa.

Japo wapo ambao wako addicted nakutafuta pesa, hata kama anazo nyingi anaona haitoshi anaendelea kukaza ili apate zaidi kiasi kwamba anakosa muda wakukaa pamoja na familia yake hapo ndipo anaamua kuwatimizia kila ili aendee na shughuli zake.

Kutokuwa karibu na unayempenda pia ni changamoto hata kama anakutimizia kila kitu.
 
Back
Top Bottom