Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Pacha nitunzie almasi yangu huko, siku ikifika nitakuja kuichenjua kiulainiHahaaa wewe born-town utawakubali watoto wa huku kijijini?
Pacha nitunzie almasi yangu huko, siku ikifika nitakuja kuichenjua kiulainiHahaaa wewe born-town utawakubali watoto wa huku kijijini?
Bf yupi x ama?Siwezi Mwifwa. Mi nikiomba hela huwa nakua nimebanwa kweli. Kwanza sinaga matumizi yasiyo ya lazima na hela za mwanaume wangu. Kwa sababu hiyo hela tunayoitumbua si bora tusave tu.
Bf alihamia Mwanza baada ya kumaliza chuo. Sasa akaniita Mwanza. Akaniambia nikakate ticket ya ndege. Nikawaza kulipoa ticket go and return, bado nikifika nitakaa hotel, bado atanitembeza kidogo. Nikaona gharama tu zisizo na maana wakati ile hela anaweza kuisave. Nilimwambia nitapanda bus (ilikua first time kwenda Mwanza). Sasa na yeye pale ndo aliamini kumbe huyu wala hana makuu kwenye hela kama anavyoonekana. Lakini ingekua ni limtu tu chief angenikatia ticket ya flight kama hawezi basi.
Hamna kigezo kwenye kumpenda mtu. Ukiona kigezo hamna mapenzi hapo.Ninyi vigezo vyenu kumpenda mwanaume havitabiriki hata kidogo, leo mtasema pesa, kesho mtasema kile kesho kutwa kingine.
Ivi kigezo cha tabia njema huwa mnakisema kweli maana hapa ndio mzizi wa upendo uliopo ila kutokana na kutaka mambo yawe mazuri pindi ukijiingiza kwenye mahusiano unajikuta pesa ndio imekuwa kipaumbele.
Yeah exBf yupi x ama?
Mkuu hawa watakuchosha. Wanabishana na NATURE! Tangu enzi za stone age mwanamke anatafuta SECURITY.Kupata mwanake wa fast na ambaye mwenye upendo wa dhati bila kuweka pesa kuwa kipaumbele ni changamoto kwa sasa.
Ila ukitaka kupata mwanamke fast lazima uwe na pesa utwapata wengi sana
kweli kwenye miti hakuna wajenzi. have you replaced him?Yeah ex
Vigezo vipo Mzigua90, ndio maana ukimpenda utasema umempenda kwa sababu fulaniHamna kigezo kwenye kumpenda mtu. Ukiona kigezo hamna mapenzi hapo.
Kweli kabisaVigezo vipo Mzigua90, ndio maana ukimpenda utasema umempenda kwa sababu fulani
Bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].kweli kwenye miti hakuna wajenzi. have you replaced him?
Uko sahihi kabisa mkuu, hawa dawa yao ni kudeal nao kiakili sanaMkuu hawa watakuchosha. Wanabishana na NATURE! Tangu enzi za stone age mwanamke anatafuta SECURITY.
Enzi za stone age security ilikuwa mwanaume strong anaeweza kumlinda na kutafuta msosi kwa watoto wake,stone age ilikuwa only the fittest survive.
Mahitaji hayajabadilika, hadi leo mwanamke anaangalia security na era hii security ni PESA, sio misuli au ubabe.
Sasa leo hii mtu mzima akwambie eti anapenda tu bila sababu inashangaza. Hio wanafanya watoto lwani wanaendeshwa na hisia na hormones mtu mzima anatumia akili na ndio maana haingii sehemu bila kuhakikisha kuna security or at least potential.
Labda. Maana nakumbuka nilikuaga napenda wanaume weusi wenye afro. Ila ex bf alikua mweupe na ananyoa kipara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Vigezo vipo Mzigua90, ndio maana ukimpenda utasema umempenda kwa sababu fulani
Mkuu naona dalili ya kuingia kingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kweli kwenye miti hakuna wajenzi. have you replaced him?
Sema tafuta hela [emoji23][emoji23]Uko sahihi kabisa mkuu, hawa dawa yao ni kudeal nao kiakili sana
Hapo sawa, kila kitu kinakubalika kwa sifa zakeLabda. Maana nakumbuka nilikuaga napenda wanaume weusi wenye afro. Ila ex bf alikimua mweupe na ananyoa kipara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Pesa ndio tunaitafuta kiakili, kwa hiyo akili ndio mzizi wa haya yoteSema tafuta hela [emoji23][emoji23]
Mwache bwana anaweza akapendwa yeye ooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu naona dalili ya kuingia kingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa kabisa.Pesa ndio tunaitafuta kiakili, kwa hiyo akili ndio mzizi wa hay yote
Sawa ngoja nikae kimya nisije kupeperusha njiwaMwache bwana anaweza akapendwa yeye ooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NashukuruSawa ngoja nikae kimya nisije kupeperusha njiwa