5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Hapo inategemeana na mwanaume jinsi atakavyoendesha mambo. Akiwa na ratiba nzuri za kusimamia mambo yake atakuwa na muda pia wa kukaa na mke/mwanamke wake bila tatizo kabisa.

Japo wapo ambao wako addicted nakutafuta pesa, hata kama anazo nyingi anaona haitoshi anaendelea kukaza ili apate zaidi kiasi kwamba anakosa muda wakukaa pamoja na familia yake hapo ndipo anaamua kuwatimizia kila ili aendee na shughuli zake.

Kutokuwa karibu na unayempenda pia ni changamoto hata kama anakutimizia kila kitu.
Tatizo hakua mwarabu. Ni huyo mwanamke alifuata pesa kwa mwarabu. Mtu kama hakupendi hata umpe dunia hawezi kufurahia sana sana atachukua jwa sababu ana shida.
 
Hivi kwani si iliulizwa kati ya gari na nyumba. Au ilikia kati ya gari na mapenzi napenda nini?
Sasa kwenye hiyo mada kama kweli ulikuwa na mtazamo kama huu, ningetarajia utoe jibu kama hapa. Maana vile vyote vilivyoulizwa sio vielelezo vya upendo wa dhati
 
Sasa kwenye hiyo mada kama kweli ulikuwa na mtazamo kama huu, ningetarajia utoe jibu kama hapa. Maana vile vyote vilivyoulizwa sio vielelezo vya upendo wa dhati
Yani liulizwe swali la maji na bia nijibu mchanga kweli? Embi bwana. Swali lilikua ni nyumba na gari. Jibu ni kati ya A au B we ukataka nijibu C. Ila ukweli ndo huo. Acheni kupenda wanawake wasiowapenda ndo maana wanawakomesha kwa kuwaomba hela
 
Kuchagua ni kupanga. Ukiona anataka hela katafute asietaka hela. Tatizo yule anaetaka hela ndo wewe ushamdondokea basi unajikuta unatoa hela kishingo upande wakati ulikua una uwezo wa kutafuta wa size yako.
Ndio maana tunasema ambao hawataki/pesa sio kipaumbele kwenye mahusiano ni wachache.

Ivi unaweza kukaa kwenye mahusiano halafu ipite wiki mbili(kwa uchache) usiombwe/asiombe hela!!?.

Ambaye amekupenda kutoka moyoni, kwanza mkiwa kwenye mahusiano hawezi kuwaza kukutegemea wewe kwenye mambo madogo madogo labda iwe dharura na hapo hana jinsi ndio ataweza kukuomba tena kwa excuse.
 
Back
Top Bottom