witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,101
Mmmh ....Naomi hanaga siri! Akitembea na mtu lazima amtangaze!Baadhi ya wanawake aisee ..halafu sasa hivi Naomi anajiliza kwenye page ya Diddy baada ya kufiwa na Kim.
Kuna kipindi alikulana na Usher akammwaga halafu akamtangaza kuwa ni goigoi on bed
( wanaume wanaomla Campbell wanadai kitandani lazima akuvunje kiuno)
Btw yy na Diddy ni marafiki wakubwa now days hata kwenye maparty ya kifamilia alikuwa anajoin...Diddy hanaga noma yule!