Not real bwana...unawadhihaki wakwe zangu wa Tandale😂😂😂49yrs old huku kwetu Kwamtogole ni ki bibi tena ndiyo wanaotegewa Katiba msshauri ya mtaa.
Ndio maana wakoromije wanasema men will bw men halafu ladies will be aunties[emoji23]Naona uso unazidi kusinyaa wakati P Didy bado kijana
She has to accept the fact that age is not on her side, 49 years wearing like that is a disgrace, she's entitled to her choice though!
Muangalie vizuri tena. Sura inaelekea kwenye uzee. Hiyo ni picha pamoja na kujiremba.Jlo huwa hazeeki aisee Ana mwili mzuri
Muangalie vizuri tena. Sura inaelekea kwenye uzee. Hiyo ni picha pamoja na kujiremba.
Hapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....
Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe
Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???
Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee
K' Matata.