Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Siamini .Aahahahahaa kidogoo tuu, si sanaa. Mie ni mpole hadi basi hehehee.
Kasie mahaba[emoji38]
Siamini .Aahahahahaa kidogoo tuu, si sanaa. Mie ni mpole hadi basi hehehee.
Inakamata,sijawahi kuquate sentesi yako nimejaribu leo,kuna watu hata kama huwajui wanaonekana ni watu wazuri sana,watu wa kisawasawa.Mmoja wao ni kasie.heshima yako.Marahaba mwanangu, kwema!! Vipi breki inakamata au imefeli!!? Heheheh
Siamini .
Kasie mahaba[emoji38]
Inakamata,sijawahi kuquate sentesi yako nimejaribu leo,kuna watu hata kama huwajui wanaonekana ni watu wazuri sana,watu wa kisawasawa.Mmoja wao ni kasie.heshima yako.
[emoji23][emoji23]Hapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....
Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe
Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???
Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee
K' Matata.
[emoji23][emoji23]
Kassie Mwenye matata zake..nakupendamo tu
Kwenye movie, music, dancing au politics?
Jlo anafanya kazi gani? ukishaijua ndio hiyo tunayoizungumzia.
Hata sielewi unazungumzia nini,Leave away issue ya kazi..mimi nazungumzia fame aliyokuwa nayo.
Not economic base yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na ile life ya ugangster kumtoka ni ngumu mnooo... ndio maana wenzake beef huishia kwenye nyimbo yey beef alake na minaj akalipeleka physical akaishia kutoka nundu [emoji23]
[emoji1787]mashauri ya mtaa49yrs old huku kwetu Kwamtogole ni ki bibi tena ndiyo wanaotegemewa katika mashauri ya mtaa.