Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Umejuaje. Wengine magari hayana break kwa iyo no kusimamisha kizembe
Hahahahahahaaa hiyo ndo hatari zaidi maana tegemea ajali maana yake utasimamishwa na ajali yenyewe wakati huo uko majeruhi.
Naishi na wanaume kwahiyo najua...