49 year old Jennifer Lopez in a high-waisted thong pants

Baadhi ya wanawake aisee ..halafu sasa hivi Naomi anajiliza kwenye page ya Diddy baada ya kufiwa na Kim.
Mmmh ....Naomi hanaga siri! Akitembea na mtu lazima amtangaze!

Kuna kipindi alikulana na Usher akammwaga halafu akamtangaza kuwa ni goigoi on bed

( wanaume wanaomla Campbell wanadai kitandani lazima akuvunje kiuno)

Btw yy na Diddy ni marafiki wakubwa now days hata kwenye maparty ya kifamilia alikuwa anajoin...Diddy hanaga noma yule!
 
Dah sikujua huyu jamaa alisimamia ile show ya mchizi wa Philadelphia nilikuwa najua ni Quincy Jones ..Dah umenikumbusha kina Carlton wa kishua akakutana na mtoto wa mbwa Smith basi burudani .
Hehe ... favorite show yangu
 
Huyu biological clock ina tick mpaka inampa kiwewe, subiri mtamuona soon akitembea uchi kuvutia vijana...
Akubali tu yaishe...
 
Kapitia umalaya na ugangster wa kufa mtuu ....bora kazaa asee dada mapepe mnoo
na ile life ya ugangster kumtoka ni ngumu mnooo... ndio maana wenzake beef huishia kwenye nyimbo yey beef alake na minaj akalipeleka physical akaishia kutoka nundu 😂
 
Hapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....

Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe

Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???

Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee

K' Matata.
We mama! ha ha ha shikamoo.
 
View attachment 938870
Hapa ni pamoja na wanafamilia na kila mtu na yake mambo. Kwa tamaduni zetu haiwezekani.

Kasie umewasema sana wasio na breki!!

Hahahahahahaaa haya wanaumeeee, piteni hapa mumkodolee macho vizuri Jlo hapo kati sharti tuu hakuna kuchungulia kilicho ndani ya pant na bra. Kisha tuone kama breki zipo au hakuna, je mtasimama ghafla au polepole, na je, break fluid ipo! !?? Ya kutosha!!?? Vinginevyo mtafanya matairi yawe vipara... hehehehehehehee

Nasubiri mrejesho wenu wanaume, na wale wa kutafsiri kazi kwenu; hakika wanaume mmeumbiwa mateso hahahaha.

K' Matata.
 
Back
Top Bottom