witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,774
Anatoka Spain?Mspanish
Anatoka Spain?Mspanish
HahahhaHapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....
Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe
Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???
Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee
K' Matata.
"Black don't crack"Mama amekuwa sweet 16[emoji23]
K matata! Dooh kweli K matataHapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....
Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe
Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???
Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee
K' Matata.
Jlo ndiye alisema Diddy ana kilemutuz au Ni Naomi Campbell ?Propaganda zilikuwa nyingi, ilikuwa afungwe kwa kesi ya kukutwa na bunduki aliyopandikiziwa. Pdiddy alimwaga manyanga
Hahaha wewe k (kei) wewe[emoji23]Hapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....
Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe
Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???
Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee
K' Matata.
Na kuna kale katoto Casper Smart alikamwaga...siku hizi yuko na Alex Rodriguez mchezaji wa zamani wa RugbyJlo alikuwa hakai na Mwanaume mmoja...ni tabia yake...Pdidy, Ben Affleck, Mark Anthony....Ila pia hakutaka kuzaa na mtu mweusi (P didy) alitaka tu atoke naye tu na tena awe strong kwenye sex.
Baadae kazaa na Mark Anthony
Juzijuzi tena nilisikia anadate na Drake, mtoto kabisa kwake.
Naona uso unazidi kusinyaa wakati P Didy bado kijana
Yaani JLo alijiona keki?[emoji23]Ni kweli alimpenda ila bimkubwa alilingia uzur zaid, nadhan wangekuwa wote wangekuwa mbali zaidi
Dah sikujua huyu jamaa alisimamia ile show ya mchizi wa Philadelphia nilikuwa najua ni Quincy Jones ..Dah umenikumbusha kina Carlton wa kishua akakutana na mtoto wa mbwa Smith basi burudani .Huyo jamaa nyuma yake ndiyo manager wake tangu yupo dancer. Jamaa ana miaka 60, pia alikuwa manager wa Puffy.
Anaitwa Benny Medina, ndiye pi Executive Producer wa Fresh Prince of Bel Air akishirikiana na Quincy Jones.
Jamaa yupo behind the scenes s ILA NDIYO BRAIN BEHIND HER SUCCESS. Jennifer Lopez BADO YUPO KWENYE CHARTS SANA US.
Naomi CampbellJlo ndiye alisema Diddy ana kilemutuz au Ni Naomi Campbell ?
Alikuwa keki kweli..!!!Yaani JLo alijiona keki?[emoji23]
Keki kweli naangalia nyimbo zake za zamani alikuwa kisu na hips juu....diddy akadataAlikuwa keki kweli..!!!
Nikikumbuka. "Ain't it Funny" na alivyo sshv...duuuuh!
Baadhi ya wanawake aisee ..halafu sasa hivi Naomi anajiliza kwenye page ya Diddy baada ya kufiwa na Kim.Naomi Campbell
Wewe Mama mtundu sana.....Hapo wanaume wakiona hivo mawazo yote yanahamia pale kati, wanatamani hiyo suruali ishuke waone hiyo pant kwa chini imekaaje na kwa kati imekaaje. ....
Na baadhi ya wanaume kwa picha hii utashangaa wamesimamisha hehehehehehe
Wanapenda sana kukanyaga breki ili wasimame..... Utasikia, dereva, simama, simamisha nishuke.... baba yeyoo viipiii mbona breki nyingi??!! Break fluid ipo ya kutosha!!???
Basi kuna mabingwa wa kutafsiri wataanza kutafsiri nimemaanisha nini wakati nimeongea kiswahili tuu hapo hehehehehee
K' Matata.
Labda wewe ndio humsikii, Jlo bado ana run the world.
Inamaana na j lo wa bongo nae ana umri huo sasahivi?