manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,324
Huku ni mwendo wa coral show tuMkuu ukiwa Mtwara kweli huwezi kumsikia JLo.
Huku ni mwendo wa coral show tuMkuu ukiwa Mtwara kweli huwezi kumsikia JLo.
Hahaha wajumbe hao49yrs old huku kwetu Kwamtogole ni ki bibi tena ndiyo wanaotegewa Katiba msshauri ya mtaa.
Huyo jamaa nyuma yake ndiyo manager wake tangu yupo dancer. Jamaa ana miaka 60, pia alikuwa manager wa Puffy.
Wadhungu wana zeeka upesi kuliko sisi walahiNaona uso unazidi kusinyaa wakati P Didy bado kijana
enzi za mababu zetu mabinti walikuwa wanavaa mavazi yanayoonyesha vitovu na mapaja ila sisi tunajifanya tunajua tamaduni kuliko hao mababu zetu 😂😂😂View attachment 938868
Kila watu na tamaduni zao!! Kwetu mwanamke kunyonyesha hadharani ruksa kwa wenzetu ni nongwa!!
Wtf is wrong there?or your head. Nyie watu mliohamia juzi mjini mna shida sana.She has to accept the fact that age is not on her side, 49 years wearing like that is a disgrace, she's entitled to her choice though!
Dude noma mzee, enzi hizo muziki ni music haswaaa, saivi hata ukiniuliza hits songs za mbele sizijui.Huyu JLO kanitesa sana enzi nasoma secondary, nilikua mwana chama mtiifu sana wa CHAPUTA, alikua mzuri jamani huyu mama, all i have, una noche night, kuna dude aliimba na Ja Rule, acheni jamani,....
Labda wewe ndio humsikii, Jlo bado ana run the world.Kweli kila kitabu na zama zake. Kavuma sana JLo. Sasa hivi hata hasikiki tena. Wakati ni ukuta
Thank youuu,enzi za mababu zetu mabinti walikuwa wanavaa mavazi yanayoonyesha vitovu na mapaja ila sisi tunajifanya tunajua tamaduni kuliko hao mababu zetu [emoji23][emoji23][emoji23]
nikiangaliaga documentary za zamani huwa nacheka sana na kujiuliza huu utamaduni tuliojipachika ni nani alituletea [emoji23][emoji23][emoji23]
eti ooooh mwanamke hatakiwi kuonyesha mapaja wakati zamani hao mababu na mabibi walikuwa wanavaa mapaja nje vitovu nje
LATINO
OkMspanish
You fool, tambua hatuna mtazamo unaofanana.Wtf is wrong there?or your head. Nyie watu mliohamia juzi mjini mna shida sana.
Jlo huwa hazeeki aisee Ana mwili mzuri
Alizingua nn?
Ikawaje sasa?Pdiddy alimpenda sana huyu mama
Ni kweli aisee. Huku Kuna watu hawana 30 Ila wamezeeka kukichangiwa na shidaMazoezi, mlo mzuri na free from stress ndio sababu.
Ni kweli alimpenda ila bimkubwa alilingia uzur zaid, nadhan wangekuwa wote wangekuwa mbali zaidiPdiddy alimpenda sana huyu mama
Cardi B waruwaru sana.....ukiwa mapepe lazima uzeekecard B kwa umri anaweza kuwa mtoto wa jennipher lopez
lakini kimuonekano cardi B ni dada ake na jennipher lopez