4 Mods BANNED

Brutus yuu wapi jamani???
Msimpige BAN huyu, yeye ni MOD mzuri sana.
 
AirTanzania, shirika linalochechemea kama si kufa, utani wako si wa kupuuzwa hata kidogo kuna kitu unataka kukiwakilisha katika thread yako hii. Bila kuficha nadhani MoD PAW kwako amekuwa kitisho hivyo umeona ujilipue kiutani lakini unataka kuufikisha ujumbe indirect.
Any way wosia wangu ni huu, JF ni jungu linajumuisha watu wengi hivyo ni lazima kuwa na MoD wanasimamia sheria, taratibu, kanuni na miongozo mbali mbali. Siungi mkono utani huu wa kuwashambulia Mods hususani PAW, TEKELEZA WAJIBU UDAI HAKI YAKO, FUATA SHERIA ILI SHERIA UKILINDE.
 
Jamani mimi sichangii siredi hii maana hawa jamaa ndiyo wale wanaotoa roho za watu, mimi nawaogopa bora nikae kimya kabisaaaa!
 
Jamanı huyu mliyempiga ban ya maisha mngempunguzia
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom