Kuna aina mbili za animation 2D na 3D, so na software inategemea na aina ya animation. software za 2D ni kama flash,toonboom,na anime studio.
Software za 3D kuna Maya,3D max,Cinema4D,Houdini,Softimage xsi, blender na nyingine nyingi.
Uzuri wa software inatofautiana na kila mtu what matters ni good result.
Kuna software kama blender, ni open source na ni bure lakini unaweza uka pata result kama ya Maya amboyo ni very expensive.
Kazi hii imefaniyika kwenye Cinema4D,3d max na aftereffects
Thanks