3D Animation kali yaki bongo

Angalia animation ya ukweli by bongotoonz
[video=youtube_share;_Vgwhs75H7U]http://youtu.be/_Vgwhs75H7U[/video]
Hongera sana Breezer. Ni kazi safi sana. Unaweza kuniambia ni programu gani nzuri ya animation, iwe ya 3D au ya kawaida?
Thanx in advance.
 
Mkuu Big Up Sana...,

Tena hivi mnaonaje kama mkiongea na watu kama kipanya, kingo, na hata zile chakubanga mkaziweka into cartoons, nadhani kuna market ya hii kitu na mnaweza kuuza hata nje., juts a nice funny story line will be the recipe
 
Kuna aina mbili za animation 2D na 3D, so na software inategemea na aina ya animation. software za 2D ni kama flash,toonboom,na anime studio.
Software za 3D kuna Maya,3D max,Cinema4D,Houdini,Softimage xsi, blender na nyingine nyingi.

Uzuri wa software inatofautiana na kila mtu what matters ni good result.
Kuna software kama blender, ni open source na ni bure lakini unaweza uka pata result kama ya Maya amboyo ni very expensive.

Kazi hii imefaniyika kwenye Cinema4D,3d max na aftereffects

Thanks
 
Hongera sana mkuu, kazi nzuri na inapendeza kweli,
A%20S-fire1.gif
 
Back
Top Bottom