Suzi Rafael
Member
- Sep 5, 2026
- 11
- 5
MISEMO YA WIKI
1. “ONE OF THE PENALTIES FOR REFUSING TO PARTICIPATE IN POLITICS IS THAT YOU END UP BEING GOVERNED BY YOUR INFERIORS .” PLATO
(Adhabu mojawapo ya kukataa kushiriki siasa ni kutawaliwa na watu wasiokufaa.)
2. “POLITICS HAVE NO RELATION TO MORALS. ” NICCOLÓ MACHIAVELLI
(Siasa mara nyingi hazina uhusiano wa moja kwa moja na maadili.)
3. “POLITICAL LANGUAGE IS DESIGNED TO MAKE LIES SOUND TRUTHFUL AND MURDERERS RESPECTABLE.” GEORGE ORWELL
(Lugha ya kisiasa hutengenezwa ili kufanya uongo uonekane ukweli na maovu na wauaji waonekane wana heshima.)
4. “WHEN THE PEOPLE FEAR THE GOVERNMENT, THERE IS TYRANNY; WHEN THE GOVERNMENT FEARS THE PEOPLE, THERE IS LIBERTY.” THOMAS JEFFERSON
(Wananchi wanapoiogopa serikali kuna udikteta; serikali inapowaogopa wananchi kuna uhuru.)
5. “TO LEARN WHO RULES OVER YOU, SIMPLY FIND OUT WHO YOU ARE NOT ALLOWED TO CRITICIZE.” VOLTAIRE
(Ukihitaji kujua nani anakutawala, angalia tu yule usiyeruhusiwa kumkosoa.)
6. “POLITICS IS THE ART OF LOOKING FOR TROUBLE, FINDING IT EVERYWHERE, DIAGNOSING IT INCORRECTLY AND APPLYING THE WRONG REMEDIES.” KARL MARX
(Siasa wakati mwingine ni Sanaa ya kutengeneza matatizo zaidi kuliko kuyatatua.)
7. “THE NINE MOST TERRIFYING WORDS IN THE ENGLISH LANGUAGE ARE: I’M FROM THE GOVERNMENT AND I'M HERE TO HELP.” RONALD REAGAN
(Maneno ya kutisha zaidi ni: ‘Nimetoka serikalini, nimekuja kusaidia.’)
8. “MAN IS BY NATURE A POLITICAL ANIMAL.” ARISTOTLE
(Mwanadamu kwa asili ni kiumbe wa kisiasa.)
9. “IF VOTING MADE ANY DIFFERENCE, THEY WOULDN'T LET US DO IT .” MARK TWAIN
(Kama kura zingebadilisha kila kitu kweli, huenda wasingeruhusu kura zipigwe.)