mi naomba niwe tofauti na wadau waliopita. To be honest, iyo animation siyo kali kama ilivyoandikwa hapo juu, japo kajitahidi sana lakini haina uhalisia wa kutosha, mfano: motion ya watu na vitu vingine ni slow motion, unless alitaka kusimulia in slow motion, kitu kingine kuna vitu kama mbwa na paka wanaokatiza sikuelewa significance yao kwenye hadithi, japo nna mengi ila nimalizie pale kwa mwalimu baunsa anaemchapa dogo! Duh hapo bro nahisi umezidisha. Otherwise good job. Keep it up! Ni mtazamo wangu tu. Msinimaindi sana waswahili...