Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,268
- 5,129
ujinga tu . endelea na mipango yako achana na mambo ya umriHakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.
Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi...
Huu ni utafiti au ni maoni yako tu?Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.
Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.
Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.
Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.
Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Umepanda cheo
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.
Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late
Karibuni.
Sio ngoja waje bali ngoja tuje. Maisha yanaenda sana kasi kipindi hikiVizuri ngoja waje
Sio ngoja waje bali ngoja tuje. Maisha yanaenda sana kasi kipindi hiki
kaka, umejitahidi kwa kweli. Nakuombea makubwa bossKabisa mkuu.
Binafsi nipo kwenye hiyo age, mke bado sina ila nina mtoto na ninaishi na mpenzi(bado kuhalalisha makaratasi ya kuwa mke)...
Boss tafuta msaada kisaikolojia ili uachane na hio mambo huu ni umri ambao kama hautaacha hako kamchezo hautaacha kabisa.Nipo kwenye hiyo age, Kwa kiasi changu baadhi ya mambo ninayo na mengine nimeacha Ila tatizo nina mtoto moja na Kwa maelezo ya daktari huenda wife akaishia mtoto huyo huyo mmoja. Hapa kichwa inauma kweli kweli.