Kazuri kale kamuvi haswaa....PK hahahaaAamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
amir khan kwa india naweza kusema ndo the best actor...
movie za kihindi banaa,mtu anapigwa ngumi anarushwa juu kilomita 300,akirudi chini anapasua ukuta...,
gari liko speed 120 lakini sterling anamchomoa jambazi yeye akiwa nje.......
sterling amezungukwa na maraia kama wote,kapigwa kachoka ila mwishoni atapata hasira na kuwafua wote....
Movie niliyoipenda ya kihindi hizi za Sasa ni 'Slum Dog Millionaire'
Yap nzuri zote mbili ila drisham kibokoo acha tuu!!!Kuna movie ya Salman Khan inaitwa bajranj bhaijaan ni moja kati ya emotional movies bora zaidi kuwahi kuziona bila ya kusahau ya Ajay inaitwa dryshyam zote ni za 2015
Huyo sijaangalia movie zake za mjini zenye magari apart from baahubali. Ofcourse nayo uwongo mwingi.
Ajay naye mzushi sana halafu baba ake mzee devgan ndio action choreographer. Mimi movie akiwepo Ajay siangalii except Ishq
Yuko anil Kapoor
Actor mzuri anushka anajitahidi sana yuko poa though I don't like her haswaa alivyofanya surgery ila yuko vzrNakuunga mkono mkuu,PK ni moja kati ya movie za kihindi zilizotulia sana kimaudhui.
Na "Mr PERFECTION" kama kawaida yake huwa hakosei.
Swali la kizushi mkuu....
Vipi unamuonaje yule mtoto wa kike mule ndani akiitwa "Anushka Sharma" a.k.a JAGAT!!?.
Not true
Yule Dada aliyeigiza nae jia amekufa kwa kujinyonga!!!Inaitwa Ghajini
Singham hyoooo...sawa bwanaa
bila kusahau na hawaπHahahaaaa!!!!
Singham hyoooo...sawa bwanaa
Ukitaka nikuhadithie mwanzo mpaka mwisho naweza kuonesha naijua na nimeielewa.
Ila sio my favourite
Sharukh Khan ,. Jab Tak hai jaanDada Anushka alicheza picha moja Jab Tak Hai Jaan kama Akira, alikamua sana bidada mule.
He said viru..:this is the sign of excellency take it..!!"one day the director of our institution called me, viru ..... i said yes sir, come here he said, i scared... " ktu kitamu sana hiki wazee a hujaona kitafute aiseeh
mara ya mwisho kwangalia movies za kihindi 2008!!!!tokea hapo cjawah kwaangalia hata Trailer
Aamir khan ni bonge LA actor hajwahi kosea muvi yeyoteAamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.