Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,764
- 17,798
Mimi hiyo napenda nyimbo zake. Zote ziko vizuriTo me naipenda sana "it's not a love story, it's a saga"
Mimi hiyo napenda nyimbo zake. Zote ziko vizuriTo me naipenda sana "it's not a love story, it's a saga"
Hii ndo ile ya uswahilini kinomaMovie niliyoipenda ya kihindi hizi za Sasa ni 'Slum Dog Millionaire'
Tengua kauli mara mojaamir khan kwa india naweza kusema ndo the best actor...
Hii ndo ile ya uswahilini kinomaMovie niliyoipenda ya kihindi hizi za Sasa ni 'Slum Dog Millionaire'
Hii ndo ile ya uswahilini kinoma
Kuna moja ya Aamir khan inaitwa Sanjini ni nzuri mnoUko sahihi! Aamir Khan ni great thinker, philosopher and activist via his movies.
Kwa mtu asiyewajua wahindi kiundani anaweza asiielewe vyema 3 idiots. Lkn wale jamaa stereotype inawatesa sana! Watoto wanalazimishwa kusoma vitu walivyo na malengo navyo!
Kwenye PK kachambua vizuri sana suala la hizi imani zetu za kidini!
Huwa napenda movie zake.
WTF nilijua ni Hulk aiseeeHuyo aliyegonga hapo mwishoni hujamtambua? Kuanzia 2:08
Hahahaaa hulk asingejitambulisha na walikua wote kwenye mapigano.WTF nilijua ni Hulk aiseee
ohoooooooooo naona nimezeeka ubongo unashindwa kuchakata mambo.. hapana kwakweli ant man hawez okoa jahaziiHahahaaa hulk asingejitambulisha na walikua wote kwenye mapigano.
Subiri utaona.ohoooooooooo naona nimezeeka ubongo unashindwa kuchakata mambo.. hapana kwakweli ant man hawez okoa jahazii
Huyo ameshapotea sasa hana msaadaMwanaume huyu hapaaa....
View attachment 966188
Basi naachana na marvel naenda zangu Justice league nikamuone baby wangu Gal GadotHuyo ameshapotea sasa hana msaada