Yaani mda woote huo mnajitia hamnazo ! Hamtoi uelekeo anachokilenga mwenye nyumba. Hizo bwn ni Sigara- fegi
Labda anamaanisha salama condom 3 bomba. ya kawaida, salama stud na zile zenye manukio ya matunda matunda
hahahahaahahahaha.....we mkali aiseee
Uliwachanganya wenzio. Hta mm kidogo. Kumbe ni kweli ulimaanisha hivi.
Atakuwa anamaanisha mihimili mitatu ya serikali, au kama siyo hivyo atakuwa anamaanisha rais, makamu wake na waziri mkuu. Kama yote hayo siyo sahihi atakuwa anamaanisha mafisadi matatu sugu.
ziko 3 tu lakini Bomba
Zinanuka mno hazifai
we at least umekuja na wazo jingine maana wengine sigara, wengine mafisadi sugu watatu, wengine ni uongozi wa juu wa nchi
hebu tufafanulie ni nini
salama condom
Kumbe ni hizo
Sasa huyu jamaaa mbona anazunguuuka mpaka watu wanachoka bana
Chit caht.
Kumbe ni hizo
Sasa huyu jamaaa mbona anazunguuuka mpaka watu wanachoka bana
hahahaha ndo maana tukabaki kushangaa na kutoa mimacho kama chura kabanwa na mlango
kwani Broda mwanzo ulifikiria nini?
hapana niliacha watu watafakari..ila wasichukue hatua....hahahahahaha
ziko 3 tu lakini Bomba