Maji ya Bomba Musoma Vijijini - Makabidhiano ya Utekelezaji wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Bomba Yafanyika Kijijini Kwikuba

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI - MAKABIDHIANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA YAFANYIKA KIJIJINI KWIKUBA

Kata za Busambara (vijiji: Kwikuba, Maneke na Mwiringo) na Kiriba (vijiji: Bwai Kumsoma, Bwai Kwitururu na Kiriba) zimeshuhudia Mkataba wa kusambaziwa maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria ukitiwa saini Kijijini Kwikuba.

Makabiadhiano hayo kati ya RUWASA na MKANDARASI (Otonde Construction & General Supplies Ltd) yalifanyika siku ya Jumatano asubuhi, 20.3.2024.

Walioshuhudia utiaji wa saini za Mkataba huo ni: wananchi kutoka Kata hizo mbili, viongozi kadhaa wa Chama (CCM) na Serikali, DAS Wilaya ya Musoma, na Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini.

RUWASA inasifiwa sana kwa kufanya kazi nzuri Musoma Vijijini - hongereni sana RUWASA!

Gharama za Mradi huu:
Jumla ni: Tsh 4.42
Kazi za awali zitatumia: Tsh 1.44

Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumanne, 26.3.2024
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2024-03-26 at 00.12.26.mp4
    28.9 MB

CCM wanajivunia ujinga ujinga, miaka mingapi baada ya uhuru wanakabidhiana ujinga! Mwingereza kabla ya uhuru alisambaza maji mijini kwa kuweka magati ya kuchota maji kwa kutumbukiza senti moja, leo hii wanaweka magati hayo na kwa ujinga wanadai eti ni tekinolojia mpya! CCM ni janga ni kikundi cha viongozi matajiri ambao wametajirika bila kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom