Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,430
- 78,596
ziko 3 tu lakini Bomba
nini tena Afrodenzi unaona maluwe luwe nini?
namsaidia AF hapo juu
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:
umenichakachua aise...
- nimekuchakachua nini?...au ilikua thread yako?
Tuliendeleze tuu maana naona hapa tushachakachuliwa
:juggle::juggle:
:juggle:
:juggle::juggle:
:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle:
umenichakachua akili...
Asije sema tunachakachua siredi yake bure
hahahahahahaaha...Broda Rocky hamna bana..cwezi sema hivyoo
Fafanua basi?.....kivipi
ki hivyo hivyo ..
sijui bomba tatu umetoa wapi... mi najua ni moja tu....
ps.. sintojibu swali lolote...
Hebu mwaga sasa maelezo
3 bomba ni nini mkuu
Mbona unajihami sasa...una hisi nitakuuza swali?
Broda Mr Rocky...kwanini 3 bomba wewe huzijui?...au unataka kunitega hapa?.....hahahahhaahha...unajua bana
Aise nitakutafuta unipe siri yake mkuu
maana hapa naona kama nachanganya