Mipira ya kiume hiyo..
Ilipigiwaga debe la kutosha kipindi cha bunge la standard and speed na Deputy Minister wake;Dr Aisha Kigoda..
mi napenda ile yenye radha ya strawberry, ndizi na machungwaziko 3 tu lakini Bomba
humalizi miaka kumi weweMkubwa,
mie binafsi yangu hazilipi, nahitaji kula vyombo kwenye uasilia wake !
Sizioni sababu za kimsingi za kujidanganya mwenyewe.
humalizi miaka kumi wewe