ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,727
- 2,418
eti mtu anakimbizwa na watu wakishamkamata tuu anashtuka kitandani, eti alikua anaota dadeki ndo nin sasa! 24 haina huo ujinga!24 haina ujinga wa slowmo wala flashback....hamnaga habari ya mtu kukumbuka matukio ya nyuma mule.........
Hivi strike back iliendelea baada ya ile episode walioenda zimbabweZote za kawaida kiboko ni
Tyrant
Strike back
Hivii Tyrant iliendelea mkuu!? Baada ya ile ya piliTyrant duh nilijuta kuiangalia kwa kwel
Nasikia walisema inarud sijui lini lakin,,Hivii Tyrant iliendelea mkuu!? Baada ya ile ya pili
Mi niliskia imekuwa cancelled..Nasikia walisema inarud sijui lini lakin,,
Iwe cancelled maana hamna kitu muleMi niliskia imekuwa cancelled..
Mi ilichokuwa inaniboa ni ule ushoga tu.. Ila binafsi kama story niliiona ipo poa tu..Iwe cancelled maana hamna kitu mule
Tenga muda angalia kwa makini sana kitu kinaitwa The Vikings ni balaa humo mzee wa kazi king's Ragnar na mzee wa kafala Frock y
Inaonekana na ww ni mdau wa magari kama mm.. Ipe gari inaitwa Toyota Sequoia ya 2010 kama ckosei.. Ni gari kali sana.. Na bei yake sio ya kitotoJaman mwenye kumbukumbu ya prison break season 4 kuna gar ambayo team michael walikua wanalitumia,,nadhan ni toyota ile lakin nmeshindwa kujua ni toyota aina gan,,lile jeusi lile nataka sana kujua aina gan ya toyota
Lakini mkuu kuna 24 Legancy na 24 hours, Sasa hapo unaongelea hipi?24 imesababisha kila movie nayoangalia nisiielewe, naona kama copy paste za 24.