Ww hata kibanda cha kuuza mihogo humiliki unaonekanaYaan Mill 17 aanze msing alaf afike hadi bati?.
Bati zuri kwa nyumba ya wastani.
Nyumba vya vyumba vitatu.
Yenye mita 10 kwa 13.
Mbao , bati na ufund ni kati ya mill 10-15.
Nina nyumba kubwa. Ina Fence paving na iko mjini Dsm. Goba.Ww hata kibanda cha kuuza mihogo humiliki unaonekana
Toka kwa shemej kabla hajakuomba unyumba
Nina nyumba kubwa. Ina Fence paving na iko mjini Dsm. Goba.Ww hata kibanda cha kuuza mihogo humiliki unaonekana
Toka kwa shemej kabla hajakuomba unyumba
Mpaka unapaua kabisa mkuu! Madirisha na milango utakuwa unaweka moja mojo ukiwa ndani kwakoHabari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Linta inafika bila shida, na unabakiwa na kama 3M hiviHabari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Labda goba ya Dodoma uko ndanindaniNina nyumba kubwa. Ina Fence paving na iko mjini Dsm. Goba.
Na nyumba ya wapangaji 1, chumba master na sebule. 😊😊😊
Tuache nyumba. Ww kwa akili zako, ukiwa na pikipiki utakuwa umefanikiwa sawa
Huna unachomiliki
Ukifa leo hauna Legacy unayoiacha.😎😎😎😎
Ww Jifariji tu kaka.Labda goba ya Dodoma uko ndanindani
Toka kwa shemej haraka sana, labda kama Unataka kua mke mwenza
Unaosha gar au unambandikia shemeji maj ya kuoga asubh hiiWw Jifariji tu kaka.
😊😊😊😊
Hiyo hela na bati unapiga,kaa sambamba na mafundi maana niwezi kweli,....na unahamia (tuache kutishana kuhusu issue za ujenzi ispokuwa kuna isue ndogo ndogo utamalizia baadae)Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Nilikuwa kwenye Folen. Ndio nimefika mzigon muda huu.Unaosha gar au unambandikia shemeji maj ya kuoga asubh hii
Kutegemea na standard ya jengo lako hata kumaliza unaweza.Habari marafiki.
Mkononi nina kama 20m hivi,kuna kakiwanja kama ka 25×20 nimekapata morogoro road eneo linaitwa madafu kwa 3m,so mkononi nitabakiwa na 17m.je wakuu naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta au niendelee kusubiri kwanza?
Kabisa tena bila mkwamo wowoteKama hujajenga ukisikiliza watu humu JF hutajenga. 17m nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu unafikia hatua ya kuezeka,yaani boma linakamilika.
Hizo cement mifuko 70 ni pamoja na plaster??(1) Fundi kujenga - Milioni 2
(2) kupiga plaster- milioni 1
(3)kupauwa mpaka gypsum-1.2m
(4)Tiles- milioni 1
(5)umeme- Laki 5
(6)plumber-Laki 5
(7) Rangi-laki 9
Jumla milioni 7. Hii inaenda kwa mafundi t, sasa twende kwenye vifaa.
(1) matofari -elfu 3×1100= milioni 3.1
(2)nondo 20× 35,000= 700,000/=
(3) ciement mifuko 70×19,000= milioni 1.3
(4)mbao na bati-milioni 5.5
(5)gypsum board-30× 18,000= laki 5.4
(6)rangi(Binder ndo 1, weather guard ndoo 2, silk ndoo 2, Wall putty mifuko 20= milion 1.2
(7)vifaa vya umeme-milion 1.4
(8)Tiles- milion 3
(9) kokoto na mchanga -milioni 1
(10) madirisha ya chuma +mrango wa chuma=milioni 1.2
(11)mlango wa mbao na fremu yake-milion 1.3
(14) kifusi,misumari,bindig wire,mbao za sahani,mbao za linta, maji, gypsum screw,sink za chooni, nyavu za mbu, milango ya chooni ya kioo.
-laki 7.
Jumla Tsh 27, 270, 000/=
Ukiwa na hii uwakika kabisa kasoro aluminium itasubiri