YumoBrahim Diaz yupo humu?
Kama nimeona vizuri ni BD10 ndio katoa assistNamsifu aliyetoa Assist akili mingi
Brazil hatujui hilo😀😀😀Namsifu aliyetoa Assist akili mingi
Boss hiyo ni namna ya kuwekeana Heshima tu, sasa kwaharaka timu gani kwenye hizi top league inaweza kumpa mkataba Casemiro?Casemiro ali declare tangu mwanzo kwamba hatoongeza mkataba na kuwa dirisha kubwa atatimka.
Na mpaka sasa kama hujui Casemiro kaenda Inter Miami huko Marekani kuchukua mafao yake
Lotarudi na mawili ya ziada kwa ajili ya dhereuSio vita nimeuliza...Mkuu usiku mnene huu presha ya nini...Nipo upande wa Brazil
Eeh kumiliki sio shida zakeWa kuvizia
Me naamini brazil ashapiga hesabu zake katika kundi anaona anapita tu kivyovyote vileGoli la kwanza la morocco
View attachment 3607305
Pole sana uzuri WaMorocco karibu wote nao wanacheza ulaya kwa hiyo uwezo 50/50Litarudi tu