Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,446
- 3,297
game imebadilika😀😀Ancelotti mnamjua lakin mpira wake😃😃
game imebadilika😀😀Ancelotti mnamjua lakin mpira wake😃😃
Casemiro ali declare tangu mwanzo kwamba hatoongeza mkataba na kuwa dirisha kubwa atatimka.Casemiro kahamia Timu ipi??
Naona unachemka haraka hili jukwa huru mkuu kuanza kushushana heshima sio issue
KabisaNgoja waaibishwe.
Sema hawa jamaa ni wazalendo sana
Brazil hana kiungo nzuri tuu kama ya Portugal ila mbele wazimaSiyo ya kuibeza.
Wa kuviziaAncelotti mnamjua lakin mpira wake😃😃
Mkuu ndio maana nikasema Brazil imepungua ubora sana..Hoja kwa hoja..
Mbona Gabriel kaanza wakati Arsenal ni anaanzia bench?
Tunauliza kwa wema tunajibiwa kwa hasira haya iendelee hiyo forwad yetu..ona wanaojua huko😀😀Nipo upande wa Morocco.