adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,751
Jamaa wahuni sana MoroccoTeam mpira kazi😃😃
Jamaa wahuni sana MoroccoTeam mpira kazi😃😃
Hata Mimi nmeanza kuonaLeo Brasil anakufa
Nguvu ya soda tu hiyo soon itakataMbona kama Brazil wako pungufu...
Uwanja umeinama
Hawa wa kawaida tunaua leoNi kweli kaka
game ya motoMbona kama Brazil wako pungufu...
Uwanja umeinama
Watoto wanacheza jihad hawaHata Mimi nmeanza kuona
Yamewafika.Hii mbinu ya Brazil sijaielewa au wanataka kupiga chuma kwa kaunta?
Mzee hawa MAR ni wenzetu kweli???Lolote baya limkute yoyote.
Ndio mpira wa don Carlo, huoni akiwa Madrid ilikua anazidiwa kabisa lakin inabeba UEFAHii mbinu ya Brazil sijaielewa au wanataka kupiga chuma kwa kaunta?