Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Amna lazima tuanze vizuriMe naamini brazil ashapiga hesabu zake katika kundi anaona anapita tu kivyovyote vile
Amna lazima tuanze vizuriMe naamini brazil ashapiga hesabu zake katika kundi anaona anapita tu kivyovyote vile
Mkuu unaota ndoto za 2002 bila shaka, kiungo Casemiro, Bruno G na PaquetaLitarudi tu
Nzuri hiiGoli la kwanza la morocco
View attachment 3607305
Brasil hawa wakicheza na USA wanapigwa 6-0 😀.Kama vile inakuwa ngumu kidogo
Kiungo ndo shida wanapotezwa na mtu wa miaka 19 kwelSiwapendi hao wa Morocco. Ila mpaka hivi sasa wamecheza vizuri.
Brasil siku hizi haina wacheza mpira. Ina influencers tu wanaocheza mpira.
Dalili zilionyeshwa wanataka kitu dakika za mapema, ndiyo hicho wameshakipata.Tayari ile kasi waliyoanza nayo mwanzo sio ambayo ipo now
Nguvu ya soda ni gesi.
Aondoke nao mara ngapi boss?Brazil mbona kama anataka kuondoka na mizigo yetu wakuu
Sijamuona kwenye moment yeyote kiwanjaniYumo
Morroco mpira wanaugusa haswa. Unaangalia mpira kweli mkuu?? Maana hayo 2 Brazil anayotolea wapLotarudi na mawili ya ziada kwa ajili ya dhereu
Tuwape ushirkiano ambao hawaangaliiNzuri hii
Mlianzaje kumpa?Brazil mbona kama anataka kuondoka na mizigo yetu wakuu
Casemiro jeshi wewe tuulize sisi tuliyekuwa naye misimu miwili pale Old TraffordMkuu unaota ndoto za 2002 bila shaka, kiungo Casemiro, Bruno G na Paqueta
nakukumbusha.
Brazil kashikwa ila kuna counter zipoMorroco mpira wanaugusa haswa. Unaangalia mpira kweli mkuu?? Maana hayo 2 Brazil anayotolea wap
Goli ni kwaajili yetu sisi waarabu wa kuchujaNajua Watu weusi hawajapenda ni
Lakini ndo ivyo Brazil kashawekwa 😂😂😂😂
Hili Goli NI Kwa ajili ya waarabu
Sisi Morocco sio waafrica