Malegend wa Brasil hawaamini macho yao hapaKwa hiyo Brazil ndiyo forwad yao hiyo😀
Uchezaji wao umebadilika sana sijui kwa sababu ya kocha mpya.Mzee hawa MAR ni wenzetu kweli???
Nyie wenye forwad nzuri, mnaongoza ngapi?Kwa hiyo Brazil ndiyo forwad yao hiyo😀
Anashika mdomo tu yeye na R9Wawashe kabumbu.
Robert Carlos hakai
SanaUchezaji wao umebadilika sana sijui kwa sababu ya kocha mpya.
Brazil anashindaSisi au Nyie?
Siyo ya kuibeza.Kwa hiyo Brazil ndiyo forwad yao hiyo😀
Casemiro kahamia Timu ipi??We kumbe hamna kitu
Hivi unadhani kila wakati mchezaji anapohama Club ina maanisha kuwa Club haimtaki?
Tayari ile kasi waliyoanza nayo mwanzo sio ambayo ipo nowMorocco wakiendelea na kasi hii watapata kitu kwenye hii mechi
Sio vita nimeuliza...Mkuu usiku mnene huu presha ya nini...Nipo upande wa BrazilNyie wenye forwad nzuri, mnaongoza ngapi?