Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,527
- 20,352
Kuna namna Morocco wanamove inawafanya wanakuwa wengi🤣
Aonyeshe uwezo tuone, watu hawaogopi historia yakoAncelotti mnamjua lakin mpira wake😃😃
Boss Casemiro wa 2015 huko sawa sio huyu, huyu kwa soka la kisasa la kasi umri haumruhusu.Casemiro jeshi wewe tuulize sisi tuliyekuwa naye misimu miwili pale Old Trafford
Sijawahi kuwashabikia kabisa Brazil world cup zote ila Leo nashabikia hela yangu.Aondoke nao mara ngapi boss?
Nadhani anataka afanye juu chini achukue Wrld cup ili awe n fursa ya kuchukua Ballon dorHakim uchoyo unawanyima goli