2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwani hapa tunazungumzia muziki...?
Huo ubora wa mpila ndo uuelezee kama kamzidi drible, asist, or goals
Elezea zaidi ya magoal ya penalt za uongo ni kipi CR7 kamzidi lionel..?
Kwa hiyo dribbles ndio ubora?

Mchezaji anaweza kupiga chenga hata watu watatu hadi wanne akamchukua na kipa, halafu mwisho akapiga shuti ovyo au akapaisha kabisa.

Hapo dribbles inakuwa na maana gani?

Assist inahesabika kuwa ni assist pale mtu aliyepasiwa akafunga.

Maana ya assist, maana yake ubora wako unahukumiwa na uwezo wa mfungaji.

Yani unaweza ukatoa pasi bora zaidi katika eneo zuri na la wazi, lakini mshambuliaji akapaisha na assist yako ikapotea.

Mpira umebebwa na tukio moja kubwa ambalo ni goli kufungwa.

Goli ndio tukio linaloenda kuamua mshindi na loser.

Goli ndio imekuwa kipimo cha kwanza hata katika kutafuta Makocha.

Goli ndio linaloweza kubadilisha flow ya timu, mchezaji anaweza kucheza vibaya dakika zote 90 halafu dakika ya mwisho ya nyongeza akafunga bao la ushindi, akawa amefuta makosa yake yote na kuibuka shujaa.

Wakati huo yule beki wa upande wa pili aliyefanya vizuri kuzuia kwa dakika 90 lakini kosa la sekunde moja lililozaa goli, mechi nzima ya kiwango chake inaharibika.

Kwa ufupi kila kitu kinachofanyika uwanjani sijui chenga, pasi, kukaba, na mbio. Lengo lake kuu la mwisho ni kuzuia goli lisiingie upande wako au kulipeleka upande wa mpinzani. Goli ndio hitimisho la soka.

Sasa kwa factor hizi nani bora?
 
View attachment 3641263

unaleta porojo nyingi ila bado unarudi kwenye ubora wa Messi kwa sababu anaweza kukupatia vyote hvyo,
Akakupa pasi ufunge goal na akafunga pia zaidi kutengeneza mashambulizi ya hatari yanayopelekea upatikanaji wa goal.
 
Niliweka clip hapo umeiona?
 
Niliweka clip hapo umeiona?

20250609_115208.jpg
 
Crazy how this happened 15 days ago and still feel like yesterday
FB_IMG_1785855977562.jpg
 
"Yeyote kati ya Messi au Yamal ataye chukua ubingwa, mi nitafurahi."

It’s been two weeks now, and you’re still not happy for Yamal.

Bro, tushajua nani mlitaka achukue ubingwa
FB_IMG_1785857488594.jpg
 
Sawa baki hvyo, wesi hyo clip ya sekunde 12 imetosha kumtafsir lionel
Mimi sijaweka kwa lengo la kumtafsiri Messi vibaya.

Nimeweka nikuoneshe mfano wa wazi ambao assist haioneshi ubora wa yule anayeitoa kwasababu mazingira kama hayo yanayomuonesha Messi akikosa magoli ya wazi ndio yaliowanyima credit za hao wachezaji waliotoa pasi za mwisho.

Hiyo inamaanisha kwamba huwezi ku judge ubora wa Ronaldo kwa kigezo cha assist kwasababu mazingira ya mfungaji kukosa bao yanaweza kuchangia kwa namna kubwa kumkosesha hiyo tittle Ronaldo.
 
hzo ni sababu zako ww, ila hcho kigezo lazima kisimame hapo.

Vp me nkikwambia tutoe kigezo cha magoli sababu CR7 kacheza mechi nyingi kumzidi Lionel..?

Na kwani Messi hakuna nafasi alizotengeneza aliowatengenezea wakakosa..?
 
Back
Top Bottom