Greatest Of All Time alikuwa anaweka gap kwenye analysis yake ya Top Scorer 🤣🤣🤣😹😹😹😹 Alooh
GOAT kakutana na mfugaji mwenye roho mbaya kapewa majani ya upupuUnaambiwa ametembea zaidi ya kilometa 60
Bila Mpira
Jamaa utadhani yupo kutalii
Halafu eti ni Goat😹😹😹
😂😂😂😂 Umeanza kujamba, acha uoga team ronado hii mmebebaSpain wajitahidi tu kuzuia dakika ziishe
Hawa wajinga sio wa kwenda nao matuta
Purukushani za mtu anayebakwa hazina maana yeyote.Argentina wabishi sana aisee
We huwajui Spain, hao ni specialist wa kunulify timu nyengine unless umeanza kuangalia mpira juzi.Spain wangekuwa kwenye form mpira ungeisha dakika 90. Fainali mbovu sana hii, unacheza na timu haina on target wala off target dakika 100+ na wala haijapaki basi unaenda unampa kipa mipira tu. Kila ukienda kushambulia unajivuta kama mlenda, mpaka mrundikane golini mpige chenga na mbwembwe nyingi, mpige na mashuti dhaifu. Mpira gani huo.
Unaona goli lilivyotokea ilikuwa ni mchomo mkali. Sasa muda wote walikuwa wanashindwa nini.
Leo nimejua unamahaba sana we mzee.Hawa wasenge wamekaa ndani wameamua watu editie na Photoshop eti saizi ndio wanatoa picha za 3D kuonyesha offside
View attachment 3633034