2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ronaldo ndio mchezaji ambaye naweza kusema amenyimwa nafasi za kufunga mabao au mabao yake ya halali kukataliwa kuliko wachezaji wengine.

Ukitoa mabao mawili kwenye mechi dhidi ya Bayern ambayo yalikuwa ni offside, hakuna sehemu nyingine unaweza kupinga magoli ya jamaa.

Na mind you hicho kilikuwa ni kipindi ambacho hakuna VAR.

Lakini Messi hadi la mkono ameshafunga.
Sawa tufunge mjadala tuone michango yao ya mabao,tuzo zao,mataji yao na motm zao naamini hapo GOAT atajulikana tu
 
Atacheza hata na pampas kikubwa goti wenu abebe wedikap amfikie messi
Unaweza kuelezea hapa ilikuwaje Unai Simon kuwahi kuucheza huu mpira kabla ya Anduje?

Ushauri wangu, Leave football before football leaves you.

1785005769377.png
 
Kwa nini tujadili kitu kimoja badala ya kujadili career yao kwa ujumla🤣🤣🤣

Tujadili mataji,michango yao ya mabao na tuzo zao tuone nani yupo juu
Kwenye carrier zao ni nani ambaye amewahi kucheza mechi bila kupiga shuti lolote either ni off target au on target?

Kwa dakika zote 90
 
Old Password: Ronaldo
New Password: GOAT
Jamiiforums: Old password can't be the same as new password.


1785006354960.png
 
Kwenye carrier zao ni nani ambaye amewahi kucheza mechi bila kupiga shuti lolote either ni off target au on target?

Kwa dakika zote 90
Kwenye carrier zao nani ana tuzo na mataji machache?
 
Achana na hayo mambo tufunge mjadala kwa tuzo,mataji na goal contributions
Huo mjadala ndio unaoweza kutoa hitimisho la uhalali wa hayo mataji.

Otherwise kama utapenda kuhesabia hadi robbery trophies.
 
Huo mjadala ndio unaoweza kutoa hitimisho la uhalali wa hayo mataji.

Otherwise kama utapenda kuhesabia hadi robbery trophies.
Sawa tuhesabie hata hizo unazodai robbery nani an tuzo na mataji mengi?
 
Unafanya spinning au swali langu hulioni kama ambavyo Argentina ilivyoshindwa kuliona lango la Spain?
Nani ana tuzo,mataji,motm nyingi na mchango mkubwa wa magoli zaidi?

Huyo ndio GOAT vinginevyo ni mapenzi binafsi
 
Nikihesabia ni kama namimi nakuwa nimeshiriki kwenye huo wizi

Aloo hizo hesabia wewe.
Zishahesabiwa na zitahesabiwa vizazi na vizazi wewe tia huruma tu🤣🤣🤣

Kwa mujibu wa tuzo,mataji,goal contributions na motm Messi ndio GOAT
 
Zishahesabiwa na zitahesabiwa vizazi na vizazi wewe tia huruma tu🤣🤣🤣

Kwa mujibu wa tuzo,mataji,goal contributions na motm Messi ndio GOAT
Vizazi vinavyo husudu wizi ndio vita counter hizo tuzo kama ni legit.

Kwa mantiki hii sitegemei kukuona unaipinga CCM.

Kwasababu nayo inadai uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni huru & haki na mgombea wake alipata kura zaidi ya milioni 30
 
Back
Top Bottom