Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 5,909
- 14,975
Kwa leo siyo rahisi mkuu.Ngoja hydration break iishe Argentina mida yao ifike. Spain wanacheza kama wamefungwa jiwe kiunoni, mpira mwingi strikes za maana lango la adui hamna. Wanapaka sana rangi.