Spain wanapiga ilimradi, on target zao ni sawa na off target. Kipa hata haruki wala nini anajichukulia mpira. Spain wanamalizia vibaya hata hawatumii nguvu.Mashuti yote ya Spain yamemlenga kipa.
Azam tv burudani kwa wote 😹Nlikuwa(ga) na mmoja wa mikoa ya huko kusini naona kama yale yale tu ya wanyiramba.
Maisha ni haya haya bn tusijinyime sana.Azam tv burudani kwa wote 😹
Sijui leo kuna nini yani lol🙌Kwanini Argentina wanapoteza time,hasa Kipa?
Hapo ndio utaona tofauti ya Mbape na dunia. Hakosei zote hizo nafasi zingekuwa magoliMashuti yote ya Spain yamemlenga kipa.
Mawe yote huoni?Hawa Spain wanakera sana, hawapigi mawe golini mambo ya kulizunguka box la mpinzani bila kuattempt ni upumbavu