2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ngoja hydration break iishe Argentina mida yao ifike. Spain wanacheza kama wamefungwa jiwe kiunoni, mpira mwingi strikes za maana lango la adui hamna. Wanapaka sana rangi.
 
Mpango kazi wa Spain uko juu kiasi kwamba najuta kwa nini nilidhani France angechukua hili kombe mwanzoni. Hapo Argentina wanateseka sana. Kila mfumo umevurugwa jamaa wanabana hadi nafasi ya kuvizia
 
Lamine Yamal sitakuongelea vibaya tena labda ikitokea El Classico ila sehemu zingine hapana leo umenikosha
 
Back
Top Bottom